Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndiyo maana wao hawana shida na hizo glazzer out kwasababu maslahi yao binafsi yanapatikana...... Kingine man u nitimu yenye ushawishi na mashabiki wengi kwahiyo huwezi kulinganisha mshahara wa mitoma na wa nyumbu mmoja mzembe mzembe
 
Ukiangalia kwa umakini hizo clips za mechi mbili tofauti utagundua kila mechi alipiga takribani goal kick 10 au zaidi zisizofikia walengwa.

Huyu ni kipa wa brighton hapo juzi dhidi yetu
View attachment 2612640
Kwenye timu zingine mpira ukiwa kwa golikipa wanaamini wako safe ila kwa De Gea ni tofauti akiwa nao ndiyo mnakuwa kwenye hatari ya kufungwa zaidi.
 
Mara ya kwanza kumona ikay gundogan ilikuwa ni mechi dhidi ya bayern munich.

Nikabaki najiuliza huyu muhindi anatokea wapi?

Baadae nikamuona mechi dhidi ya rwal madrid, usiku ule watu wengi walimzungumzia roberto lewandowski na hatrick yake ila kwangu ilikuwa ni ikay gundogan na udikteta wake eneo la kiungo.

Nilitamani nimuone manchester united lakini ikawa kinyume chake.

Mkataba wa gundogan umebakiza miezi mitatu ndani ya etihad.

Kama ningelikuwa ni mfanyaji maamuzi wa arsenal au manchester united, muda huu ningelikuwa nazungumza na wakala wa gundogan.

Bila ya kujali umri wake.
 
Hii timu ni Man United au One United. Tuanzie hapo. Kuna wakati naona kabisa Ferguson anaiharibu team ...akamchagua Moyes hovyo, wakija walimu KAZI Yao kuuza wachezaji.

Ukikagua mauzo ya wachezaji ni wale wazuri wazuri yakaachwa mapupu.
 
Hii timu ni Man United au One United. Tuanzie hapo. Kuna wakati naona kabisa Ferguson anaiharibu team ...akamchagua Moyes hovyo, wakija walimu KAZI Yao kuuza wachezaji.

Ukikagua mauzo ya wachezaji ni wale wazuri wazuri yakaachwa mapupu.
Kwa miaka 10 hii after ferguson, sidhani kama mauzo ya wachezaji yanafikia hata thamani ya paundi millioni 50.

Manchester united ndio klabu kubwa ya ovyo duniani linapokuja swala la kuuza wachezaji.

Daniel james
James garner
Chris smalling
Daley blind

Hao pekee ndio nakumbuka wameuzwa
 
Ni kweli kabisa, na hili hata EtH kaliongelea before game na Brighton. Sema kila kitu kwa sasa kimesimama kusubiri mmiliki mpya atakuja na vision ipi huoni hata deal la Mcllister tumekwama anaenda zake liverpool ambao ni front runners mpaka sasa na wamewapa Brighton James Millner kama kifungashio 😀
 
Ndiyo maana wao hawana shida na hizo glazzer out kwasababu maslahi yao binafsi yanapatikana...... Kingine man u nitimu yenye ushawishi na mashabiki wengi kwahiyo huwezi kulinganisha mshahara wa mitoma na wa nyumbu mmoja mzembe mzembe
Ni kweli ila inabidi kuwe na salary cap. Maximum mchezaji anayelipwa zaidi iwe £350k. Saka mkataba wake wa kwanza Arsenal alikuwa anachukua £30k, sisi Garnacho tayari anachukua £50k. Sawa hii inaweza kuwa kawaida ila % kubwa wanalipwa pesa nyingi kushinda kile wanachofanya uwanjani.

Inatakiwa tufate nyayo za Barca kwa kuanza na kumtoa De Gea kwenye £375k halafu watafuata Casemiro na Varane mikataba yao ikiisha waondoke. Sancho pekee ndiyo atabaki asiyestahili kulipwa hiyo pesa.
 
Na mwarabu analetewa figisu balaa, wafia team wanamtaka mwingereza mwenzao 😀
 
Mkuu unaiona project ya Aston Villa inavosukwa? Wanamchukua director wa Barca anakuja kufanya kazi na Emery. Usiwasahau nao, hapo bado brighton nao ŵana structure nzuri sana
 
Rashford ni kirusi anawaza zaidi record binafsi.
 
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha


Prediction
West Ham 0 vs Manchester United 2

3:00 usiku

London stadium

Last match
Manchester United 1vs west ham 0

West Ham mnacho cheza nacho hakika hamkijui kitawaramba


GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…