Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hili litimu limejifia from top to bottom. Wao ni bendera fuata upepo na kusajili wachezaji kwa lengo la kibiashara zaidi.

Hivi mchezaji kama Sancho kwanini analipwa £350k?

De Gea kwanini anabaki? Ili alipwe £250k, kwa kazi ipi anayofanya?
Ndio maana naamini mwanadamu aina ya Pep angeamua kuondoka..

Dawa ilioshiriki kutoponya haiwezi kuwa na jipya hata ukileta tiba mpya..

Ondoa wote walioshiriki anguko..

Utaskia eti Scott abaki..utasikia Martial awe back up..

Miaka nane hana jipya wala record ya kueleweka ila eti ni kipenzi cha wenye timu
 
Ukiwaangalia BHA wanavyocheza halafu uambiwe umri wao pamoja na thamani yao kama timu,huwa unashangaa scouting ya man utd huwa inafanyia kazi nchi gani.
Brighton
Brentford
Newcastle utd
Aston Villa post Gerard
Fulham

Wamecheza vizuri kutuzidi kwa muda mwingi ..

Sasa njoo linganisha na wachezaji wetu wenye mamishahara yao..so sad..

Unajiuliza kwa nini hukuzaliwa Uingereza jiji la Manchester ukapewa tu kauwezo kidogo ka kusukuma kandanda?
 
Utd imeanguka sana..

Sawa Liverpool walianguka pia
Arsenal walianguka pia..

Ila hawakuwahi kuwekeza kama Manchester United..

Timu bado ipo na Jones..then inataka ubingwa?
Huo ujomba ujomba tutasubiri sana..
Timu kama Madrid ipo juu kwenye soka Ulaya na Duniani kwa kufanya kazi bila kuangaliana usoni.

Unalipwa ufanye kazi ya watu kama kazi nyingine tu na siyo mchezo.

Hilo limewasaidia Madrid wachezaji wao wakongwe kuishi ktk misingi hiyo hata hawa madogo wakienda wanakuta ni kazikazi.

United alipoondoka SAF aliondoka na nguvu na ushawishi wake, kizazi cha wakina Rashford na Lingard kikakutana na mhuni kama Rooney (heshima kwake legend).

Sasa hivi timu imejaa mabishoo tu. Sancho, Rashford, Garnacho, Antony. Wakija madogo wengine nao wanakuta Carrington ni sehemu ya kula bata tu.
 
Real Madrid kwangu mimi ndio timu pekee inayoweza sajili jina na likazaa matunda..

Mchezaji kama Pogba Pale Madrid wala asingekuwa anaongea shit..

Ibebe timu, ikubebe..

Imagine waliachana na Ronaldo ambaye bado alibeba kiatu Serie A..

Sancho tumefukuzia miaka miwili..
Anthony tumelipa €100

Then eti anacheza show off..

Nakumbuka Man City Vs nimesahau,,
Walikuwa wakiongoza magoli mengi sana, ikapatikana penalty..
Ederson akataka kwenda kuipiga ili nae aingie kwenye vitabu vya wafungaji..
Pep alikataa huo ushenzi..
Nidhamu kwa na heshima kwa mpinzani iwepo haijalishi unaongoza ngapi wala ni dakika ya ngapi..
 
Ni bahati tu wote Chelsea, Tottenham, na Liverpool wapo vibaya..

Haijalishi form ya Rashy wala uwezo wa Casi..
Ni dhahiri EtH angekuwa kwenye red zone..
 
Ole aliwadokeza United kuhusu kumsajili Haaland kipindi bado yupo Molde, akampeleka Bellingham mpaka Carrington ktk harakati za kumsajili, akamtaka Caicedo, Camavinga, Alvarez.

United imefeli pakubwa sana.
 

Kocha wako Pep huyo. 😂 Huyu jamaa ana mentality ya ushindi, kaongea kitu kikubwa sana. Unaona nafasi waliyopata Gundo kaipoteza na mechi ikaisha 2-1 ni kwasababu tu City wapo vizuri defensively.

Sasa rejea mechi ya United na Sevilla wakati tunaongoza 2-0 wachezaji wakawa hawatumii nafasi vizuri kwa uchoyo na ubinafsi matokeo yake dk ya 80 watu wanajua mechi imeisha, mpira unaisha 2-2.
 
[emoji23] mentality za kibingwa..

Mpe heshima mpinzani wako..

Sisi tukaleta mizaha Anfield ambako SAF anakiri ni kiwanja ambacho viti vyake alikuwa akihisi vinawaka moto..


Kwa ufupi EtH namkubali kama kocha anaeibukia ila awe makini sana na project yake.. alete wachezaji wenye maturity kama Lisandro..hawa wazee wa Spin watamwoteshea majani Kibaruani..

Miaka 21 anaitwa mtoto..

Kina Rooney wame-battle wakiwa na umri gani?
Halland ana umri gani?
ÇR7 na Leo wamebeba tuzo wakiwa na umri gani?

Rash eti bado anakua
Antony bado
Sancho bado mtoto..

Jude kakomaa?
 
Sir Jim Ratcliffe is proposing a deal that would force the Glazers’ exit after three years should he win the battle for control at #mufc, it has emerged.

James Ducker
 
huyu mpumbavu anachosha wenzake
DEJAN7
De Gea amechangia kutufungisha mechi nyingi sana.

Mechi iliyoniumiza sana msimu huu ni mechi ya Tottenham huwezi kucheza vile katika Premier League.

Kuna makosa mengi sana yanayotokana kubutua mpira hovyo muda wote tunakuwa hatuna mpira kwa sababu ya upuuzi wake.
 
Ni kukosa wachezaji sahihi timu nzima wachezaji hawawezi kupiga pass complete hata tatu tu.

Golikipa mwenyewe butuabutua
 
Licha ya form mbovu waliyoionyesha msimu huu, kuna uwezekano wa liverpool kushinda mechi zake zote za viporo alizocheza.

Upande wa manchester united hakuna hata mechi moja ya kiporo aliofanikiwa kupata alama 3.

Leeds united - draw
Crystal palace - draw
Brighton - lose
Tottenham - draw

Hii ndio tofauti yetu na wao na hata manchester city, mechi za kutusogeza mbele tumeshindwa kuzitumia vyema.

Kuna nyakati tulipitwa alama 8 dhidi ya manchester city huku tukiwa na mechi moja pungufu zaidi yao...

Tukatoa suluhu dakika ya mwisho dhidi ya crystal palace.

Mechi inayofuata tukadhalilishwa dhidi ya arsenal kimpira

Mechi ya leeds tukiwa nyumbani nayo ikatishinda.


Nyumbu ni wajinga sana
 
Ukiangalia kwa umakini hizo clips za mechi mbili tofauti utagundua kila mechi alipiga takribani goal kick 10 au zaidi zisizofikia walengwa.

Huyu ni kipa wa brighton hapo juzi dhidi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…