Pep msimu wake wa kwanza alifanya nini City?Kibarua cha Kuirejesha Manchester United juu kimekuwa kigumu sana..
naweka akiba ya maneno ila..Only Pep Can Do That..
Our Ten Hag tutamuonea tu..
huwezi beba ubingwa wa EPL na wachezaji dizaini ya Sancho, Rashford, Antony, and co..
Manchester United inahitaji 5 Worldie kubeba EPL..as of now ni Only Casimiro..ndie World Class Player..
yule bwana hamis77 huwa tunamuona snitch ila kiuhalisia yupo sahihi..
Imagine Manchester United wame spend karibu £250M.. ila mpira bado hauna uelekeo..
Mchukue Rashford mpeleke Real Madrid, Bayern Munich, Manchester City, PSG, tuone atamweka nani benchi?
Safari bado ni ndefu..tuwe na subira..ingawa bila watu sahihi wa usajili safari ni ndefu zaidi..
Hii project inabidi United wacheze kamari tu kwa kusajili talents zisizo na majina maana kwa hali ilivyo budget yote itaishia kwa wachezaji wawili tu. Kane & De Jong/Caicedo ni £170m tayari.Hapo kwa Kane naomba niendelee kumkataa kwa nguvu zangu zote.
Mosi,Manchester ni Team inayojijenga,yaweza chukua miaka 2 tena tuweze kukaa katika nafasi yetu ya mwanzo (Enzi za Sir Alex).Kane anatakiwa kwenda team kama City au PSG huku kwetu tunamtafutia lawama bure.
Pili,Winger zetu zote ni self sana,sijui wakati wa usajili walifikiri nini ?.
Tatu Man inahitaji wachezaji wasiopungua watano watakaoingia moja kwa moja kikosi cha kwanza (first eleven).Ukimnunua Kane unaweza kutumia 110 hadi 130 Million hii itapunguza budget yetu na hivyo kuathiri maeneo mengine muhimu kama mlinzi wa kati,kulia,kiungo na mshambuliaji wa kulia.
Mwisho lazima mtambue wachezaji wa kiingereza wanauzwa ghali sana.Kane angekuwa Mdachi au mfaransa bei angeuzwa 30 or 40 million only.Mchezaji kama Erickson,Casemiro,Varane ni 30 or 32 hawa wapo katika kumalizia mpira wao wa kiwango cha kabla hawajatimkia Italy or USA.Varane ni mchezaji wa kiwango cha juu lakini muda mwingi anakuwa nje ya uwanja kwasababu majerui sasa hii imesababusha tatizo kubwa upande wa ulinzi.Wakati tunaka yule kubwajinga aondoke lakini pia majeruhi wa mara kwa mara waondoke pia.
Pep msimu wake wa kwanza alifanya nini City?
Wala huhitaji World class players kubeba EPL, unahitaji wachezaji sahihi tu. Wengi mnashindwa kuelewa United ina matatizo kwenye kila eneo: kuanzia GK, CB, RB, CM, ST.
Hata wakisajili hayo maeneo yote bado nafasi ya kubeba EPL msimu ujao ni ndogo sana, zaidi tutakuwa title contenders. Maana ndiyo kwanza kila usajili tunafanya kwa ajili ya first eleven na siyo squad depth.
Tumetumia £250m kuboresha maeneo kadhaa. Timu ni kiungo na hilo ni eneo United hatuna watu sahihi, hatuna striker, hatuna top quality CBs: ameumia Martinez na Varane tuna-drop points. Hatuna RB wa kuweza ku-link up na RW: ikumbukwe Sancho pale Dortmund alikuwa anacheza na Hakimi.
Ten Hag ni kocha anayeonyesha mwanga, kwanza kaleta ball-passing CB "Martinez" baada ya kipindi kirefu United tumepata DM "Casemiro" kamleta Antony na sasa anamtaka Frimpong ambaye sasa anacheza RW ila yeye anataka amtumie kama RB ku-influence RWs zake.
Huwezi kucheza total football ukimtegemea De Gea "stopper" ambaye anashindwa kuanzisha mashambulizi na hawezi kumiliki eneo lake vizuri. De Gea ndiyo chanzo cha United kupoteza mipira kila muda anapopata anabutua, kipa wa Brighton (2nd GK) jana katoa somo.
Rashford, Sancho, Antony ni wachezaji wazuri sana tu, tukiboresha eneo la kiuongo kwa kumpata ball carrier "De Jong", ST, CB, RB, GK tutabadilika kiuchezaji.
Suala la ku-spend na kufanya vizuri havina uhusiano. Chelsea £600m imetumika na bado timu haina muunganiko.
Kweli kabisa tatizo kubwa ni utoto kwenye safu ya ushambuliaji na ndiyo eneo linaloamua mechi.Shukurani Mkuu..
ni kweli timu ina changamoto nyingi ila hatuna mentality sahihi za kibingwa..
Pep aliionesha dunia jinsi mpira wa kisasa unavyoendeshwa..
aliamini katika anachoamini..akaleta vijana wake wakafeli..
nini kilifata?
kina Bravo, Nolito and co..waliondoka..
Muangalie Lottin Mbappe..kuna siku mbaya kazini anazingua, hata dk 85 ila zile tano anaweza kubadili upepo kabisa..
marejeo ni Fainali Vs Argentina..
ukija kwetu MBE akipata goli moja ndio kwanza kawa New Lionel..
mzee Ranginick aliweka wazi matatizo ya timu.. MENTALITY ya kina Antony kuzunguka na mpira hatuwezi shinda ubingwa..
tunawaita watoto..ila Rooney na Ronaldo pale Moscow sijui walikuwa na miaka mingapi..
Manchester United wasipobadilika tutaumia sanaa..
Otherwise Chelsea wafeli katika project yao, Plus Liverpool..
usiwasahau Newcastle..
yupo Cityzen pia na Compact team ya London Babies..
Na mimi naamini sana kwa talents ambao hawana majinaHii project inabidi United wacheze kamari tu kwa kusajili talents zisizo na majina maana kwa hali ilivyo budget yote itaishia kwa wachezaji wawili tu. Kane & De Jong/Caicedo ni £170m tayari.
Kama vipi striker wamchukue hata yule dogo Hojlund maana bila Mwarabu kupewa timu watu watakimbiana pale Carrington. 😁
Umezunguka lakini umerudi kwenye orodha ile ile ambayo ina trend kwenye media.Ten hag anapaswa awe na roho ngumu kuleta mataji United.
1. Ajenge morali ya dak 90
2. Nidhamu na ushirikiano kwa wachezaji ndani ya pitch iko Wazi ndani ya box kila mchezaji anataka afunge yeye hasa forward zetu ( martial, rash, na anthony)
3. Asajili wachezaji wafia timu, napendekeza wenye sifa aina ya i) KANE, ii) DE JONG, iii) CHIESA, iv) FIRMPONG na CB na middle no# 10 mmoja...kwa msimu huu kaonyesha mwanga kwa tactics zake na baadhi ya sajili nzur hii ni optimistic about the future....binafsi namuunga mkono na nataka awe serious na kazi tunamtengemea.
NB: awatoe martial, Maguire, elanga, fred, woughost. All the best. GGMU
Muondoe Fernandez kwenye list ya wapuuziHyo namba mbili ni tatizo kubwa mno , solution yake ondoa wote wenye majina leta madogo kama Mitoma , alaf ndo ulete striker finisher kama Kane ndo utaona matokeo , Ila hao selfish waliopo Huyo Kane ni Nani boya atakuwa anamlisha afunge yeye alaf wao wasionekane kitu ambacho Ronaldo mwenyewe kilimshinda sababu ya majungu ya hao madogo , kama Kane akija akifikisha magoli 15 kwenye ligi basi ni mwanaume , Antony , Rashford , Fernandez, Sancho , Martial etc wote wanataka wafunge
Nimemuondoa chiefMuondoe Fernandez kwenye list ya wapuuzi
Kweli kabisa tatizo kubwa ni utoto kwenye safu ya ushambuliaji na ndiyo eneo linaloamua mechi.
Pia kuna mahali kama timu tunafeli. United inabidi waanze kuwa na roho mbaya kama Madrid. De Gea ukitoa yeye kuwa legend alitakiwa kuondoka lakini ndiyo wanamuongezea mkataba. Martial, Maguire, Fred pia wapewe mabegi yao. List ni ndefu ya watu wanaotufelisha kila msimu kwa kuwapa nafasi mwisho wa siku wanatuangusha.
Wachezaji kama Rashford na Antony tumewapa majukumu makubwa sana ila hakuna namna inabidi tuvumilie timu ikijiimarisha maeneo mengine.
Jana pekee katengeneza nafasi kama nne za kufunga lakini watu wanabutua tu.Nimemuondoa chief
Yes panga linatakiwa lipite kuanzia kwenye beki,Maguire na Varane wauzwe watoke.Pamoja Mkuu..
panga lipite zito kama kweli wanataka tusonge mbele..
walipe mishahara inayoendana na uhalisia..
utoto ukemewe..
Yes panga linatakiwa lipite kuanzia kwenye beki,Maguire na Varane wauzwe watoke.Pamoja Mkuu..
panga lipite zito kama kweli wanataka tusonge mbele..
walipe mishahara inayoendana na uhalisia..
utoto ukemewe..
Jana pekee katengeneza nafasi kama nne za kufunga lakini watu wanabutua tu.
Yes panga linatakiwa lipite kuanzia kwenye beki,Maguire na Varane wauzwe watoke.
Fullbacks Dalot na Brandon William's watoke.
Kwenye midfield, Fred, atoke, striking force ondoa Martial, na Elanga
Goalkeeping De Gea ndiyo chaka la matatizo yetu kwa sasa
Ukweli usemwe tuu majina unatengeneza tatizo , timu zimehama kwenye huo mfumo wa majina , ukileta wachezaji watatu wenye majina hasa safu ya ushambuliaji 80% unaenda kufeli , wengi hujiangalia wao ili washine na wazihirishe Uma kuwa wapo vzuri , hapa Gharama yake ni kuwa timu inakosa muunganiko ,Na mimi naamini sana kwa talents ambao hawana majina
Kila mchezaji mwenye jina wanaomtaka man u dau linaanzia 100 kama wameambiana vile
Si heri ukanunue SonKuna chuma hiki cha ki-Japan "Kyogo Furuhashi" niliangalia mechi moja ya Celtic nikajiuliza kwanini Martial anacheza United?
Market value €9m - €15m.
View attachment 2611399