Rekodi inaendelea :
Ukimuondoa Fulham aliye nafasi ya 10, hatujapata ushindi uwanja wa ugenini dhidi ya timu nyenginezo ziliopo top 10 ya msimamo wa ligi kuu.
Tumepata suluhu dhidi ya tottenham, timu nane zilizobakia zimetufunga.
Tittle kontenda hawezi kuwa na tabia za kimalaya malaya
10Hag mpaka leo hii bado hajaona umuhimu wa Antony kucheza dakika zote 90.
Tuendelee kuvuta subra ila game ya leo Foward zetu ndio zimetuangusha saaana.
Jamaa wako vizuri sana wanatandaza boli haswaaa wamestahili hasaa kipindi cha pili huwa tunalala kabisa. Mpira wetu bado haufurahishi sana tungoje msimu ujao tu huu ushaishaa.
Mtalaumiana Sana Ila hao madogo wa Albion huwa wanakiwasha Sana , huyo mjapan mitoma ni hatar tupu , huwa wanawafanya beki na midfielder wa timu pinzani wawe busy kuwakaba , sema tatizo Lao hao madogo huwa wanakosa umakini golini na kujikuta wanabutua butua , Ila wangetulia mlikuwa mnakula nyingi nyingi tuu za kutosha
On Friday, people close to Sheikh Jassim said his offer had crossed the £5billion mark, but people close to the process Raine managed say that is not the case and Ineos' offer is higher.