D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Kipindi cha pili ni timu nzima imepoteana unategemea De Gea atafanya nini zaidi ya kubutua tu bora liende?Umeona goli la pili alivyowasetia spurs ?
Wachezaji ni kama vile wanachagua mechi na dakika za kucheza kwa hamasa.Nachoona huyu utaifa sijui unamponza yani dah mechi tunapoteza kizembe kabisa, wachezaji nao wahedi goli 2 hawakabi wanatembea tu wameridhika sioni kama hilo linafanyiwa kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23] tunafata mulemule alipopitia Arsemwali.Sijui tuna laana gani yaani 2 goal lead sasa level
[emoji23][emoji23][emoji23] ni bora hata asingefanya hizo Sub kabisa, maana badala ya kufanya Sub yeye anaishia kufanya Sambusa.Mbona Ten Hag mzito hivyo kufanya Sub?
Mungu amesikia dua yako lakini amechagua upande anaotaka yeye maana hua hapangiwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sahv tuombe everton achomoe kwa newcastle
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa shughuli aliyokua anaifanya WB leo hata kama kocha angekua ni Muzamilu asingethubutu kumtoa.Ten Hag game ikiwa inaendelea huwa dishi linayumba anapoteza uelekeo, haelewi afanye Nini, disgusting..[emoji2961]
10hag kwenye sab ni Mgunda mtupu😤[emoji23][emoji23][emoji23] kwa shughuli aliyokua anaifanya WB leo hata kama kocha angekua ni Muzamilu asingethubutu kumtoa.
Unamtoa Antony unamuingiza Weghorst kisha tena unamtoa Sancho unamuweka Martial huyu mzee hio leseni yake ya ukocha inabidi ikaguliwe na CAG.
Tumefika NYIE NYUMBU wa MASAIMARAWale wajinga wote hutawaona humu leo wala kesho
While kocha wenu ana muwaza tadic wa ajax[emoji28][emoji28]Alexander Isak amezaliwa mwaka 1999.
Amecheza mechi 16 za ligi kuu na kufanikiwa kufunga magoli 10
Kwa kiwango alichokionyesha pale real sociedad sikutegemea ya kwamba atakwenda newcastle united.
Sisi tuendelee na hadithi za kusadikika.
Ulitaka nani aingie? Tuna squad depth ya aina hiyo unayofikiria?[emoji23][emoji23][emoji23] halafu majagi7 kila mechi anarudia sub zake za kijingajinga yaani hata hajifunzi, ndio maana Bachelor ll amemuingiza kwenye list yake ya Majasusi.
Dawa ni kuwaondoa hao watumishi hewa na kuleta majembe.Mabadiliko ya sancho yanapaswa kuwa kwa garnacho tu, kama hayupo mmoja wao hao wengine waendelee kuwa benchi.
Kinyume na hapo unatuingizia watumishi hewa uwanjani, hawa kina martial na elanga
Kipara anazingua.
Ulishawahi kumuona Pelistri akicheza? Tunamaanisha kocha aache ubaguzi wa utaifa, Whergost na Malacia walifata nini uwanjani?Ulitaka nani aingie? Tuna squad depth ya aina hiyo unayofikiria?
Yani wachezaji wa United wa uhakika hawafiki 10. Waliobaki takataka wote.
Kwa ufinyu wa kikosi chetu Bruno na Antony ndio wamekua kama Central Bolts ya timu mzima, anapokosekana mmoja wao unaona kabisa gari linalalia upande mmoja.Ulitaka nani aingie? Tuna squad depth ya aina hiyo unayofikiria?
Yani wachezaji wa United wa uhakika hawafiki 10. Waliobaki takataka wote.