Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
But did you just say above that DM should not be blamed for players' ugoro?
Arifu, naamini una uwezo wa kuelewa tofauti katika maswali na majibu.
Wewe, uliniuliza, kwanini Adnan hakuanza, mimi nikakujibu, muulize DM.
Sasa hilo jibu, linahusiana vipi na mimi kusema kocha asilaumiwe kwa uchezaji mbovu wa timu?
Wachezaji ndiyo walaumiwe, lakini hilo halinifanyi kushindwa kusema majibu katika nani aanze na nani aingie kwa sub ni kazi ya DM.
Wachezaji walioanza, DM aliona wanafaa kutokana na mazoezi ya timu, hivyo kushindwa kwao kucheza vizuri, ni lawama kwao pia.