Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huoni Aibu kuongelea Carabao

Arteta with £0m alibeba FA & CS

7 Hag with €250m , Carabao

Sasa kama timu haina hela za kumpa ulitaka wampe mawe? Mbona huna logic hapa kutokusajili sio tatizo letu wala la kocha ni ubahili wa timu yako
 
Nimeamin kwann Pogba alisema Mashabiki wengi wa Manjesta hawajui mpira


UNAMTETEA ANTHONY?

Ulimtetea Sancho,Magwaya hukomi tu

Kwani pogba ndio injini ya kichwa changu kumbe nyie akili zenu zimenaswa na wachezaj wa arsenal wakisema vua nguo mpigane miti mnafanya
 
Kwenye Table mpo wapi ?

Mnaongoza ligi au ndio mwapambania kucheza UCL?

Hilo swali mbona la kichovu yaani hujui hadi muda huu kama timu yako nayo ipo kwenye harakati za kupigania kucheza uefa? Timu yenyewe haina uhakika wa kubeba kombe unapiga kelele tu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…