UTAPELI WA 7 HAG KWA FAMILIA YA MAREHEMU GRAZA
7hag : Nataka kupress ,kucheza mpira mzuri Ni project ya muda mrefu
GRAZA FAMILY: Haya chukua β¬250m za usajili, tunakupa na nguvu ya maamuzi kwenye Usajili
Alichofanya 7 hag Sasa
Casemiro miaka 32 ,β¬70m
Anthony (average player /championship material) kwa β¬100m
Malacia (average player mwenye mentality za championship)
Werghost (average player ambaye hata championship Burney hakufaa)
HALAFU KUNA MASHABIKI UCHWARA WANAKWAMBIA SUBIRI MSIMU UJAO APEWE WATU ANAOWATAKA
make kwanza Nicheke
View attachment 2595279