Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bisaka na dalot wote wanafaa kuwa striker kama dalot ni striker kabsa yule cjui nani alimshawishi acheze beki ila juzi aliwekwa LB alikiwasha vzur tu naona kwa kuwa team nayo ilikua kibonde

Bisaka aliperform lakini leo kaumbuka lilikua suala la mda tu sasa Upara 10Hag aumize kichwa aingie sokoni abadili beki maajabu ni kwamba PEP amefanikiwa kuingia sokoni na kusajili beki nzuri Akanji na Ake na akafanikiwa kuwatrain waendane na mfumo wake na sasa wanakiwasha vbaya mno alifukuza beki zote (Fabinho,Canncelo,Zncheko) JE 10Hag atawezaaa?? Apo ndo ntamuona genius

Sisi eti tunategemea beki mmoja Martinez haya kaumia tunaanza kutaftana hivi Maguire ni wakumzuia Son,Kane jpili Kweli?
 
Huyu 7Hag anazarau za kishamba sana.
Hii mechi tulikua tumeisha imaliza Old Trafford ila zile Sub zake za kisenge ndio zimetufikisha hapa tulipo.
Basi tufanye magoli yetu Sevilla ya pale Old Trafford hatuyahesabu, tunayahesabu ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…