Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Thread yetu imevamiwa wapumbavu wengi sana. Tunakosa kabisa raha ya kuja kutoa opinions zetu humu.

Sijui wametoka wapi hawa watoto

Tena cha kushangaza timu zao ukiwatoa City wengine wote tia maji tia maji
 
Ni vyema JASUSI la Dutch government hapo MANCHESTER United Eric ten hag akaanza kumtumia captain Maguire Kama straika
 
Eric ten hag ana tabia kama za wahaya ona sasa MANCHESTER imejaa wadachi au watu waliopita udachini

Mpaka wapishi na wafanya usafi ni wadachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…