Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nikikuita taahira nakosea wapi eti ng'ombe kama hii inajiita mchambuzi labda unachambua funza za kichwani mwako
 
Nikikuita taahira nakosea wapi eti ng'ombe kama hii inajiita mchambuzi labda unachambua funza za kichwani mwako
Mimi nategemea unijibu kwa data ,Takwimu ,maelezo ya kina ,Cha ajabu unalalamika ,unatukana ,

Nani anaonekana tahahira? Mm kutukana nilishashindwa kabisa
 
Alexis Sanchez akiwa na Man U:

"Nilisaini Manjests bila taarifa nyingi, Wakati mwingine kuna mambo huyatambui hadi ufike. Baada ya mazoezi yangu ya kwanza, nilirudi nyumbani na kumpigia simu wakala wangu na kumuuliza kama mkataba wangu unaweza kusitishwa na nirudi Arsenal.
 
Katika mechi 50 Arteta akiwa Arsenal.

Games: 50
Won: 21
Drawn: 12
Lost: 17

Mimi siwezi kuendelea kubishana na wewe, uko obsessed na United. EtH anafanya zaidi ya alichofanya Arteta ktk msimu wake wa kwanza.
 
Brighton 70% Possession Chelsea 30%
Brighton 19 shots to Chelsea 3
Brighton 437 passes, Chelsea 217

HALAFU MTU MMOJA ANAKWAMBIA 7HAG BONGE LA KOCHA
Ona mbwa huyu hii post inahusu Chelsea na Brighton harafu hii mbwa inamu include Ten Hag huu uchafu utakuwa unaliwa huu sio bure
 
Katika mechi 50 Arteta akiwa Arsenal.

Games: 50
Won: 21
Drawn: 12
Lost: 17

Mimi siwezi kuendelea kubishana na wewe, uko obsessed na United. EtH anafanya zaidi ya alichofanya Arteta ktk msimu wake wa kwanza.
View attachment 2589594
7 hag karith kikos kizuri na bajeti €250m

Hizo mechi 50 ndani kacheza na kina chalton , Reading, Forest Mara 3, plus mechi kibao za Cups

Arteta karith kikos kibovu huku Saka akiwa beki ,leo Ni among RW duniani with €OM bajeti
 
Idiot
 
Ona mbwa huyu hii post inahusu Chelsea na Brighton harafu hii mbwa inamu include Ten Hag huu uchafu utakuwa unaliwa huu sio bure
7 hag huyu huyu aliyepewa €250m

Akachota €100m akamleta mchezaji wa YouTube?

Nitakuwa wa mwisho kuamini manjesta imepiga hatua
 
Mpira unadunda ila bado sijaona Manjesta ya kuwafunga wakata kuni Nottingham forest

Mjinga pekee ndio ataamini Maguire na Malacia wanaweza kuwazuia striker machachari kama Lingard
View attachment 2589640
Hamis sometimes kwenye mpira unakuwa mjinga sana Mpaka computer Arsenal anakujua wewe kwenye mpira uwaga akili zako unaweka pembeni.

Nachojiuliza mbona Chelsea wametumia hela kuliko sisi lakini uwezi kuta hata mara moja unawazungumzia?
 
Computer Arsenal si alihamia psg ,toka lini akawa Arsenal

Utaizungumziaje Chelsea ambayo imebadili makocha kuliko mechi ilizoshinda ,huoni kwamba Chelsea matatizo yao Ni makubwa ,

Chelsea tulizungumza toka ligi inaanza Kama unakumbuka pre season , had sajili zao anafanya Tody bila ruhusa au asuarance ya kocha ,mbona tumezungumza Sana ,kwasasa kinachotokea Ni matokeo tu ya walichopanda

Manjesta lazima msemwe maana nyie kwanza mlisema Ni Title contender ,nakumbuka niliwabishia Sana humu ,nikiwaambia kwa Mpira na approch yenu hamstahili kupigania ubingwa Kipind hicho Arsenal tumewazid point 6-9
 
Hamis sometimes kwenye mpira unakuwa mjinga sana Mpaka computer Arsenal anakujua wewe kwenye mpira uwaga akili zako unaweka pembeni.

Nachojiuliza mbona Chelsea wametumia hela kuliko sisi lakini uwezi kuta hata mara moja unawazungumzia?
Chelsea ligi inaanza Tajiri anafanya sajili yeye ,anazamia dili za watu ,

Kwa principle za football tulisema hawez kutoboa ,maana nowdays football inachezwa kwa Profile maalumu ,sio kukusanya tu wachezaji wazuri

7 hag tunamsema maana mlijinasibu ni kocha mkubwa lakin tunaona anadhalilishwa Sana kimbinu hata Kama inatokea ameshinda

Nina mechi zaidi ya 10 ambazo 7hag ameshinda ila kimbinu unaona amefeli ,bila msaada wa Degea na Form ya maisha ya Rashford believe me mngekuwa nafasi ya 10-12

Hata top 4 mpo sio sababu ya ubora Ni sababu ya Form mbaya ya Spurs na kukosa quality kwa Brighton
 
nyie Arsenal si timu Bora,.... Msitupigie kelele bure.. mbebe ubingwa wa EPL mtuoneshe mfano.
 
Mpira wa janja janja huwezi kukimbizana na UBINGWA

Watu wanapiga 7 WIN Wana draw wanaanza Tena WIN zinapigwa hata 8

Tuweke ushabiki pembeni 7 hag anaweza kupiga WIN mfululizo hata 5 EPL ?
 
Wakati mwezi March tunasema Manjesta hana vigezo sio Title contender material tulionekana wehu ,kipindi hicho akiwa ameachwa point 6 na Arsenal

Muda Ni mwalimu mzuri

Bado nauliza bado mnadai nyie Ni Title contender au mmetupa Taulo?

Jaman Vita ya ubingwa Ni ngumu ,mpira wa ujanja ujanja utakusaidia mechi mbili tatu

Ila Consinstency ndio itawaumbua
 
KARMA IS REAL

Baada ya maneno ya 7 hag tukapata majeruhi ya Saliba na Tomiyasu

But now KARMA IS REAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…