Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fuatilia mpira mzee siyo kuja kuandika vitu ambavyo havina maana.

Toka huyo mkulima wa nyanya kutoka Ukraine kaja England amekusanya points 33 wakati Erik ten Hag kakusanya points 44. Hiyo ni kuanzia October 1st, 2022.

Katika kipindi chote hicho De Zerbi anachocheza mpira mzuri, EtH kabeba Carabao Cup, timu yake ipo Top 4, Europa League QF & FA Cup SM (hiki ndiyo kitu pekee De Zerbi kapata kama mafanikio pamoja na EtH).

United chini ya EtH wameshinda mechi zote za muhimu kuwafanya wawepo kwenye makombe yote. De Zerbi ni mkulima wa nyanya, hata kule Ukraine hakuna alichofanya (Shakhtar kubeba kombe ni kama Bayern na Bundesliga) ilibaki kidogo aukose ubingwa. Katika career yake ana vikombe vya chai viwili tu.

EtH profile yake ni ya kocha wa timu kubwa. Kuanzia management ya wachezaji mpaka kukuza vipaji.

Sikatai Brighton wanacheza mpira mzuri ila usimfananishe De Zerbi (au hata Arteta) na Erik ten Hag. Kocha anapimwa kwa mafanikio na siyo kucheza mpira mzuri.

Jose Mourinho (The Special One) ana mpira wa zamani sana lakini hujiulizi kwanini bado vilabu vikubwa barani Ulaya vinamuamini?
 
Kwa mashabiki wa arsenal, kwao mafanikio ya timu ni kudominate wapinzani in terms of possession.

Makombe kwao vishakua vitu vigeni.
 
De zerbi ana mbinu za mpira na tactics kumzidi huyo ten hag ,...

Mpira tunaangalia mzee ,...

De zerbi angekuwa na world class player kama alionao ten hag ,basi tegemea kuona Barcelona ya pep akiibua de zerbi....
 
Ten hagi kocha mweupe sana anazidiwa mbinu hata na Unai Emery kwa mbali usimfananishe na Di zerbi mpira tunaangalia Sana
Nyumbu mmekuwa mkiokolewa na Degea na fomu ya Rashford nje ya hapo Teni hagi angekuwa alipo Chelsea
 
Newcastle alivomfanya mpaka akanyoosha mikono juu ...
Kimbinu siwezi kumuweka hata karibu tu au meza moja Ten hagi na Arteta ,Arteta kaiva sana pale kwa Pep
Mashabiki wa united hawataki kusikia ukweli ukiona kocha anasomeka kirahisi na anabutuliwa Huyo kwa epl Sasa hafai kina Conte Mourinho na waviziaji wengine EPL pamekuwa sio salama Tena kwao ,jiulize kwanini hakuna watu wanaowashobokea kina murinho na Conte
 
Newcastle alivomfanya mpaka akanyoosha mikono juu ...
Huyu kocha kimbinu Ni Kama Sean Dyche tu Ni vile Kuna wachezaji kama Rashford aliye form na Degea ndio wanamuweka hapo alipo

Sasa tunataka kumuona akitembea na Magwaya Na Lindelof
 
Wabongo tunajifanyaga tunajua sana, kwaiyo hapo na wewe unajikuta umefanya uchambuzi yani?
 
7hag kimbinu kwa di zerbi haingii ,ndio umfananishe na Mikel Artata Phenomenal?

Vilabu gani vikubwa vinamtaka Mourinho au Conte kwa Sasa

Conte alikuwa na safu bora ya ushambuliaji akaongezewa na pesa juu ,mkasema atagombea epl ,kashatimuliwa unadhani EPL ya sasa Ni hi ya kuwa na kina Sancho ,wanabisaka na weghost
 
Wabongo tunajifanyaga tunajua sana, kwaiyo hapo na wewe unajikuta umefanya uchambuzi yani?
Mnataka mpaka mzungu awaambie ndo muamini ndio maana mnaletewa vilainishi

Wakati tunasema Anthony Ni mchezaji wa ovyo mlibisha Sasa hivi Kila mechi mnalalamika
 
Mnataka mpaka mzungu awaambie ndo muamini ndio maana mnaletewa vilainishi

Wakati tunasema Anthony Ni mchezaji wa ovyo mlibisha Sasa hivi Kila mechi mnalalamika
Sasa wewe Anthony awe mchezaji mzuri au wa hovyo anakuhusu nini? Hela unatoa wewe?
Hayo ya vilainishi unayajua wewe maana umeshalainishwa hadi umeshindwa kutunza siri
 
De zerbi ana mbinu za mpira na tactics kumzidi huyo ten hag ,...

Mpira tunaangalia mzee ,...

De zerbi angekuwa na world class player kama alionao ten hag ,basi tegemea kuona Barcelona ya pep akiibua de zerbi....
Hahah! Nyie si ndiyo kila siku mnasema United ina wachezaji wabovu, leo wamegeuka World class players!

Kubalini tu EtH ni kocha wa mpira na ndiyo kwanza yupo msimu wake wa kwanza 90% ni wachezaji aliowakuta.

Unai tu kakusanya points 32 mwaka huu 2023 huyo mkulima wa nyanya 33 toka October 2022.

Potter pia mlimsifia akapewa watu kafeli, sasa hivi mnampamba De Zerbi.

Eddie Howe pia mlimsifia ilipofika hatua za kocha kuhukumiwa (fainali) akaonyeshwa uwezo wake ulivyo mdogo ktk soka, kaja kushinda ligi mechi ambayo haina mantiki yoyote kwao (yes, UCL football waende kushiriki tu).

Mnamkosea sana heshima EtH.
 
Ten hagi kocha mweupe sana anazidiwa mbinu hata na Unai Emery kwa mbali usimfananishe na Di zerbi mpira tunaangalia Sana
Nyumbu mmekuwa mkiokolewa na Degea na fomu ya Rashford nje ya hapo Teni hagi angekuwa alipo Chelsea
Unai ni kocha mzuri lakini bado hafiki levels za EtH.

Kushinda Ligue 1 na PSG siyo mafanikio ya kudhihirisha umwamba ktk soka. Kuna watu wameshinda UCL na Porto.

Unai anafanya kazi nzuri kwa mid-table clubs. Alipewa Arsenyani msimu wake wa mwisho mlimaliza nafasi ya ngapi?
 
Kama Arsenyani ni timu kubwa ina tofauti gani na Roma? Hivi Arsenyani na Roma nani kacheza Champions League ktk miaka 7 iliyopita?

Mourinho yupo Roma huko timu ileile iliyokuwa ina-struggle ashawapa kombe na kuwa kocha pekee kubeba makombe yote ya UEFA.

Mafanikio ya Arteta ktk miaka yote Arsenal yanaweza kufikiwa na EtH msimu huu tena anaipeleka timu UCL. Kipindi Arsenyani mnacheza bora liende mshasahau leo EtH msimu wa kwanza mnalazimisha acheze mpira mzuri.

Spurs ni bottlers tu kama nyie, makocha wote wazuri wanafeli.
 
NOTTINGHAM FOREST LEO TUNA JAMBO LETU
MANYUMBU TUTAPIGA PALE PALE KWENYE MSHONO MKIPATA HATA DROO TU NIPO PALE
LINGARD MAN OF THE MATCH
MAGUIRE LEGEND
 
Kwenye ligi ya EPL kwasasa, mpira wa kucheza kwa kusubiri counter umekosa nafasi ndio maana unaona timu zinazobeba makombe ya EPL kwa miaka ya hivi karibuni ni timu zinazocheza mpira wa kueleweka.

Inapokuja kwenye European theatre, mambo ni tofauti, timu nyingi zinazocheza mpira wa ujanja ujanja ndio zinapata mafanikio huko mostly.

Sitoshangaa ten hag akibeba Europa huku arteta akiondoka trophyless ( sababu city ndio itakua kikwazo pekee kwake kwenye ligi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…