Hapa umenena...huyu tumepigwa ipasavo.Sancho
Mechi 50 Goli 5
Thaman yake €80m
Moja ya sajili za ovyo
Usimlaumu huyu mhuni wadau watakushushia rungu.Wana bisaka
£50m
Old fashioned RB
Hajui kupiga Kross
Usimlaumu huyu wadau watakushushia runguCasemiro
Umri miaka 30
€70m
Unasajili mchezaji ambaye hawezi kudumu kwa long term project
Ina maana miaka miwili mbele tunarudi kule kule
Madrid wanamsajili Tchoumeni kwa €80m ,ana miaka 20-21 wanakuuzia Casemiro babu kwa €70m
Kihasibu Madrid wamemnunua Tchoumeni kwa €10m na Wana uhakika wakuwa nae kwa miaka 10
Kwangu binafsi , 7hag ana mengi yakujifunza kwa Di zerbi
7hag kakuta timu ina wachezaji wazuri
Graza family wakamuongezea na bajeti ya €250m
Cha ajabu Sasa timu inacheza Kama GWAMBINA YA PASTA ATHANAS
Brighton 70% Possession Chelsea 30%
Brighton 19 shots to Chelsea 3
Brighton 437 passes, Chelsea 217
Chelsea are Pathetic
Yani unafananisha kocha aliye-dominate soka la Netherlands na mkulima wa nyanya huko Ukraine!?Kwangu binafsi , 7hag ana mengi yakujifunza kwa Di zerbi
7hag kakuta timu ina wachezaji wazuri
Graza family wakamuongezea na bajeti ya €250m
Cha ajabu Sasa timu inacheza Kama GWAMBINA YA PASTA ATHANAS
Brighton 70% Possession Chelsea 30%
Brighton 19 shots to Chelsea 3
Brighton 437 passes, Chelsea 217
Chelsea are Pathetic