Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
We mbona hupo ka shogaVya mjinga huliwa na mwelevu Ten Hag analamba asali na wadachi wenzake
Unabishana nini na mtu timu yake miaka 19 ijabeba ligi timu hata ueropa aina.Ngumi za kwenye mshono ambao kidonda bado hakijakauka
Nyumbu kaeni kwenye meza ya mazungumzo na hamis77
Haya maswala mbona yanazungumzika, [emoji1][emoji1]
#ArsenalNDOO