Magwaya the badmanHarry Maguire on his own goal: The rules are crazy, every time I score a goal they give it to our opponents.View attachment 2587577
Striker ni lazima. Weghorst arudi alipotoka. Martial asiuzwe abaki kama backup maana naona dalili pesa itakuwa siyo ya kutosha.Pamoja na ujinga wa kocha jana, hii timu bado inahitaji wachezaji wazuri wasiopungua watano. Mmoja awe no. 9. Wout ni mzigo.
Antony ni mjinga sana, licha ya ubora wake katika kukaba ila hiyo haikuwa lengo la kununuliwa kwake. Amekuwa mjinga sana.
Pesa inaongea. Subiri wachezaji wenu wa mafungu mnunue.Casemiro
Umri miaka 30
€70m
Unasajili mchezaji ambaye hawezi kudumu kwa long term project
Ina maana miaka miwili mbele tunarudi kule kule
Madrid wanamsajili Tchoumeni kwa €80m ,ana miaka 20-21 wanakuuzia Casemiro babu kwa €70m
Kihasibu Madrid wamemnunua Tchoumeni kwa €10m na Wana uhakika wakuwa nae kwa miaka 10
Hiyo £1B ni pesa kutoka kwenye mapato ya club tofautisha na uwekezaji.Graza family wametoa £1.4B kwenye Usajili hapo manjesta
Sheikh Mansoor ametoa £1.4B kwenye Usajili mancity
Kosa la Graza Ni lipi ?
Graza asibughuziwe , kumbe pesa anatoa vzr tuPesa inaongea. Subiri wachezaji wenu wa mafungu mnunue.
Anthony nilimuongelea ile siku ya kwanza tu dhidi ya arsenal watu wakasema sijui mpira 😃 inaweza kuwa ni kweli siujui ila kwa jamaa hata mimi kipofu niliona ni 🚮Striker ni lazima. Weghorst arudi alipotoka. Martial asiuzwe abaki kama backup maana naona dalili pesa itakuwa siyo ya kutosha.
Nachukia sana wachezaji wabinafsi, Antony ni mmoja wao.
Makosa ya wengine wanapakaziwa GrazaHiyo £1B ni pesa kutoka kwenye mapato ya club todautisha na uwekezaji.
Tukiachana na pesa ambayo ipo, kosa kubwa ni Glazers kufeli ktk uendeshaji timu, kuna vitu vingi vinakwamisha United kusonga mbele uwanjani hata makocha na wachezaji waliopita wamesema walichokiona Old Trafford & Carrington.
Binafsi mm hiyo mech pamoja alifunga ,nilimtilia wasiwasi mkubwaAnthony nilimuongelea ile siku ya kwanza tu dhidi ya arsenal watu wakasema sijui mpirainaweza kuwa ni kweli siujui ila kwa jamaa hata mimi kipofu niliona ni
10hag naona aliamua kuwapunguzia mzigo ajax
Jamaa ana ule mpira mtaaniBinafsi mm hiyo mech pamoja alifunga ,nilimtilia wasiwasi mkubwa
Picha lilianza ,anatokea ligi ya wakulima lakini namba zake za ovyo