Bruno na Antony ni muhimili mkubwa sana wa timu kwa sasa.
Sijui kulikua na umuhimu gani wa kufanya sub za hawa watu kwa pamoja?
Sub ya muhimu ilikua ni ya Sancho tu, hata huyo Martial leo hakustahiki kutoka.
Draw ya leo lawama zote tunambebesha kocha maana sio mara ya kwanza wala ya pili kufanya kazi ndogo zinazotucost.
hamis77 mpaka muda huu atakua bado amelala? maana sio kawaida yake Man utd awe amedraw au kufungwa halafu yeye asije kutusagia kunguni humu, hii kima hata tukishinda hua lazima ije kumchamba Antony& Sancho na timu nzima kwa ujumla.