Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona Alichoongea Anderson kinaanza kutokea sasa....
Washaanza kugawana mbao kwenye Jahazi linalozama.......
After Vidic Nani Atafuata??
 
Naona Alichoongea Anderson kinaanza kutokea sasa....
Washaanza kugawana mbao kwenye Jahazi linalozama.......
After Vidic Nani Atafuata??

dah its so sad kumuona vidic anaondoka man u alafu mtu kama smalling na evans bado wanabaki ot
 
Waongo hao Vidic haondoki mbona Mo No atanunua ushindi tu mwaka huu khe khe khe khe khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee anapewa mbinu na Fungie kuanza kuwatetemesha waamuzi.
 
Reactions: Mbu



Raging: Sir Alex Ferguson gained a reputation for leaning on referees
during his Manchester United reign
















Revealing: Dermot Gallgher (top) claims Ferguson (bottom) asked him to call a game off as a favour
 
Naona Alichoongea Anderson kinaanza kutokea sasa....
Washaanza kugawana mbao kwenye Jahazi linalozama.......
After Vidic Nani Atafuata??

Ni kweli kuwa kuna wachezaji wengi lazima wataondoka,kumbuka tunaanza era mpya na tunahitaji wachezaji wapya wenye motivation na timu.Giggs,Rio,Nani,Carick,Fletcher,Evra wote wako United si chini ya miaka 7 na wameshinda almost kila kitu OT.Kwa sasa wengi viwango vimeshuka,umri mkubwa na kusumbuliwa na majeruhi so ni wakati wa kupisha wengine still kuna vijana kama De Gea,Rafael,Jones,Evans,Mata,Januzaj na kusajili wachezaji wengine
Nilitegemea Moyes atafanya reshufle kubwa na tayari imeanza Anderson,Rio,Giggs na Vidic tayari hawatakuwepo msimu ujao.Still tutaendelea kuwakumbuka kwa mchango wao mkubwa waliotuletea hasa

 
Reactions: Nzi

mkuu kwani ishakuwa confirmed kwani kwamba giggs na rio watastaafu msimu huu.
 
....:#CaptainVidic keshatangaza nia....

.....#VanPersie na #Rooney 

Vida anaondoka kwa mutual consent na kocha.....Vida ameshinda kila kombe kubwa katika ngazi ya klabu..acha aende Inter akamalizie soka lake

Ni dhahiri kwamba DM anataka kujenga timu yake.....na ameanza kwa kumshawishi Rooney abaki, kisha kumnunua Fellaini na Mata....kisha hilo la Vida ndilo limefuata, huku kama alivyosema Belo hapo juu, akina Giggs, Evra, Rio nao watafuatia....DM anahitaji United mpya...nami namuunga mkono na miguu kwa hilo....

Rooney wala RvP hawawezi kuondoka United...kwa hela atakayopewa Rooney paundi laki 3, sidhani kama kuna klabu itakayowez kumlipa hivyo...vilevile kwa RvP kwa mpunga anaokula United (paundi laki 2 unusu nafikiri) na umri wake, kuna timu inaweza kumlipa hivyo kweli?

Wachezaji ambao wanaweza kuondoka, na wataniuma sana wakiondoka ni Chicharito, Kagawa na Nani. Hawa ni squad players, yaani ni wachezaji wenye umuhimu mno...hata waje akina Cavanni, Reus, Gundogan, Vidal, Koke, Herrera, squad players lazima wawepo.....
 

so bad kagawa,rafael,butner wote wanaweza wakaonfoka mwisho wa msimu huu its confirmed now moyes ameridhishwa na kiwango cha evans,smalling na de gea,so its very posible smalling na evans wapo kwenye mipango ya dm,chicharito amesema ataangalia hatma yake man u baada ya world cup,kwangu mimi tatizo sio rafael wala kagawa kuondoka bali tatizo ni kocha kuhakikisha tunawapata watu sahihi wenye uwezo zaidi yao na pia nitafurahi sana iwapo giggs,na ferdinand watatundika daluga kama inavyohisiwa na wengi. Ila pia kwa upande mwingine nahisi kocha amefanya haraka sana kumpa go ahead rafael ni msimu huu tu kiwango chake kimeshuka im sure next season atarudi kwenye ubora wake. Ila kocha ot ndo mwenye maamuzi ya mwisho lets wait and see timu yetu inavyoundwa.
 

Rafael alishakanusha hiyo habari ya kuondoka.
 
Starting XI: De Gea, Rafael, Smalling, Vidic, Evra; Mata, Carrick, Fletcher, Young; Rooney, van Persie.

Subs: Lindegaard, Ferdinand, Giggs, Valencia, Kagawa, Januzaj, Hernandez.
 
So United is going for a 4-2-3-1 formation against Fulham's 4-4-2. Interesting.

Let's do this #ManUnited
 
Starting XI: De Gea, Rafael, Smalling, Vidic, Evra; Mata, Carrick, Fletcher, Young; Rooney, van Persie.

Subs: Lindegaard, Ferdinand, Giggs, Valencia, Kagawa, Januzaj, Hernandez.

waxhezaji wazee sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…