Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi ya leo inanikumbusha msimu wa 18/19 tulicheza mechi ya mapema na The Toffees tukiwa kwenye top 4 race hivihivi mechi ikaisha 4-0. Moja ya mechi de Gea alizingua sana.

Tukamaliza msimu kwa droo 2 na kichapo mechi 3 za mwisho.

Early kick-off!!!
 
Dah..Dakika 7 za mwanzo hizi tumewaletea shida kubwa
 
Wan Bissakaaa anakosa goli wazi kabisa...Hii Man u hatari sana
 
Haya magoli tunayokosa duuh
Bado nashangaa sana kuna Mashabiki maandazi wanaponda uwepo wa ANTONY DOS SANTOS akiwemo Mwana F.A juzi kajipostisha TL kwamba kwa Antony tumepigwa..Lakini Antony anaubonda haswaaa
 
Tumepigwa sana
 
Huyu Anthony 2big chances kakosa

Halafu eti €100m

Tukisema mmepigwa mnakasirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…