Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kiungo Sabiza na Vunjabei

Manjesta 0 Brentford 1

Au

Manjesta 0 Brentford 0

Swala la kushinda nyie msahau kabisa kwasasa , Hadi mwezi May
 
Ol Trafford siku hizi ni mahala panapo heshimika sana

Brentford leo anakufa vzuri
 
@hamis77 tulishakubaliana wewe ni mchambaji nguli sio mchambuzi nguli.
Mkemia Trossard Ni Bora Kuliko Mudryk,GAKPO, Anthony,Sancho..!

Winger Bora Kwa Sasa
Anajua Kufunga Magoli Na Kutoa Assist
Winger Mapafu Ya Mbwa na Mwenye Speed
Winga Hategemei Kukimbilia Kwenye Kibendera Kam Anthony Ili Aweze Kupiga Krossi
 
Tunaiombea Brentford ushindi ili UTD ipunguze spidi afu Liva aje kuingia top 4 na UTD na Spurs waende Europa league. Ikiwezekana UTD washuke hata zaidi
 
Tunaiombea Brentford ushindi ili UTD ipunguze spidi afu Liva aje kuingia top 4 na UTD na Spurs waende Europa league. Ikiwezekana UTD washuke hata zaidi
Liva yupo nafasi ya nane, uwezekano wa kuingia top four hana yeye pamoja na title contender manyua
 
Siti ya mbele kabisa.

Brentford endeleeni kukanyaga kwenye kidonda.

Toney💥 Mbeumo💥
 
Nilishasema huyu kocha ni mjinga watu wakanitukanaa. Kile kikosi kilichotupa aibu kwa Newcastle ndio amelazimisha kianze hicho hicho..ni Whergost pekee kabadilishwa na Sancho.
Ulitaka acheze nani?

Sema mapema kabla mechi haijaanza, sio baadae nilisema nyiiingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…