Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ol Trafford siku hizi ni mahala panapo heshimika sana

Brentford leo anakufa vzuri
 
@hamis77 tulishakubaliana wewe ni mchambaji nguli sio mchambuzi nguli.
Mkemia Trossard Ni Bora Kuliko Mudryk,GAKPO, Anthony,Sancho..!

[emoji1621]Winger Bora Kwa Sasa
[emoji1621]Anajua Kufunga Magoli Na Kutoa Assist
[emoji1621]Winger Mapafu Ya Mbwa na Mwenye Speed
[emoji1621]Winga Hategemei Kukimbilia Kwenye Kibendera Kam Anthony Ili Aweze Kupiga Krossi [emoji460][emoji124]
 
Tunaiombea Brentford ushindi ili UTD ipunguze spidi afu Liva aje kuingia top 4 na UTD na Spurs waende Europa league. Ikiwezekana UTD washuke hata zaidi
 
Tunaiombea Brentford ushindi ili UTD ipunguze spidi afu Liva aje kuingia top 4 na UTD na Spurs waende Europa league. Ikiwezekana UTD washuke hata zaidi
Liva yupo nafasi ya nane, uwezekano wa kuingia top four hana yeye pamoja na title contender manyua
 
Siti ya mbele kabisa.

Brentford endeleeni kukanyaga kwenye kidonda.

Toney💥 Mbeumo💥
 
Nilishasema huyu kocha ni mjinga watu wakanitukanaa. Kile kikosi kilichotupa aibu kwa Newcastle ndio amelazimisha kianze hicho hicho..ni Whergost pekee kabadilishwa na Sancho.
Ulitaka acheze nani?

Sema mapema kabla mechi haijaanza, sio baadae nilisema nyiiingi!
 
Nilishasema huyu kocha ni mjinga watu wakanitukanaa. Kile kikosi kilichotupa aibu kwa Newcastle ndio amelazimisha kianze hicho hicho..ni Whergost pekee kabadilishwa na Sancho.
Huna kocha baba

Acha kimbelembele kuzurula majukwaa ya watu kupost TABLE ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…