ni nani huyu?
Vitor Roqueni nani huyu?
hamis77 mholanzi mwingine tena huyu hapa wanamsaka. Ukiwaambia kuwa 7hag ana vigezo vi2-3 Kwa mchezaji anayemsaka n hivyo ni 1. awe mholanzi au 2. awe amecheza eredevisie, wanakuita haterRB huyo..
Sasa Wtf are these Dalot's contract extension stories comes from??
AWB ndo anayetakiwa kubakishwa in my opinion.View attachment 2575609
hamis77 mholanzi mwingine tena huyu hapa wanamsaka. Ukiwaambia kuwa 7hag ana vigezo vi2-3 Kwa mchezaji anayemsaka n hivyo ni 1. awe mholanzi au 2. awe amecheza eredevisie, wanakuita hater
Kwanini Recruitment ya wachezaji wasiwe wakwanza kufumuliwa mnakimbilia kuwananga Graza family?Mwarabu apewe timu
Daah namkubali sana De Gea. Jamaa anachomoa sana mashuti . Kwa mashambilizi yote hayo ana concede only about 30% ya hizo shots kama magoli. Siyo mbaya. Bila huyu jamaa ManUtd Sasa hivi asingekuwa anamcheka Chelsea. Wote wangekuwa vumbini pamojaUjue nilikuwa sijui Kama huyu Frimpong Ni mdutch
Nimeenda Google nimekuta kweli
Huyu kocha mfatilie toka dirisha kubwa nje ya wachezaji waki Dutch au waliopita Erevedise Hana jicho la kuchagua labda hawa wenye majina ambao hata Julio kiwelo anawajua kina Hary Kane ,Osmhen, Mbappe ,n.k
Eriksen kapita Ajax
Anthony kapita Ajax
Martinez Kapita Ajax
Malacia kapita Erevedise
Werghost Mdutch
Sabitzer nasikia wanajuana
Casemiro huyu kwa vyanzo vyangu nasikia sio usajili wake Ni usajili wa bodi ya manjesta baada ya kuona wamemkosa De jong(Mdutch kapita Ajax) ,presha kubwa ya mashabiki GRAZZER OUT wakaona wavamie Madrid haraka .
Hata anavyompambania Degea abaki watu wanadhani utani , anajua akifanya sagulasagula ataleta kipa Shati , Manjesta itakuwa taaban , heri abaki na Degea aendelee kumuweka mjini ,
Manjesta nimoja ya timu zinaongoza kukaa chini ,sababu Degea hawez kusogea juu kuunganisha mashambulizi
Top 6
Shots conceded vs goals conceded in the SIX YARD BOX ONLY
Man Utd 49 / 15
Tottenham 24 / 7
Newcastle 20 / 7
Arsenal 19 / 4
Man City 17 / 6
Brighton 17 / 6
Walimtaka na Gakpo pia Klopp akafanya mambo ya Todd Boehly. Sitashangaa akimtaka Van Dijk...Ujue nilikuwa sijui Kama huyu Frimpong Ni mdutch
Nimeenda Google nimekuta kweli
Huyu kocha mfatilie toka dirisha kubwa nje ya wachezaji waki Dutch au waliopita Erevedise Hana jicho la kuchagua labda hawa wenye majina ambao hata Julio kiwelo anawajua kina Hary Kane ,Osmhen, Mbappe ,n.k
Eriksen kapita Ajax
Anthony kapita Ajax
Martinez Kapita Ajax
Malacia kapita Erevedise
Werghost Mdutch
Sabitzer nasikia wanajuana
Casemiro huyu kwa vyanzo vyangu nasikia sio usajili wake Ni usajili wa bodi ya manjesta baada ya kuona wamemkosa De jong(Mdutch kapita Ajax) ,presha kubwa ya mashabiki GRAZZER OUT wakaona wavamie Madrid haraka .
Hata anavyompambania Degea abaki watu wanadhani utani , anajua akifanya sagulasagula ataleta kipa Shati , Manjesta itakuwa taaban , heri abaki na Degea aendelee kumuweka mjini ,
Manjesta nimoja ya timu zinaongoza kukaa chini ,sababu Degea hawez kusogea juu kuunganisha mashambulizi
Top 6
Shots conceded vs goals conceded in the SIX YARD BOX ONLY
Man Utd 49 / 15
Tottenham 24 / 7
Newcastle 20 / 7
Arsenal 19 / 4
Man City 17 / 6
Brighton 17 / 6
Mambo ya ajabu haya ukubwa wa timu ni mataji bhana tena yale makubwa makubwaHii ni takwimu ya idadi ya mechi ilizoshinda (Kwa timu zote) kutoka EPL official site timu mbovu ikishika nafasi ya pili. Je umefahamu ukubwa wake unapotokea?
View attachment 2574952