Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niliposema hapa manjesta soon ataaanza kugombea nafasi ya europa nilitukanwa Sana

Sasa Spurs akishinda kesho anawashusheni had nafasi ya 5

Binafsi Bado Sion utofauti mkubwa wa 7+3hag na Ole Gunnar Sosha

Kama Kuna mchambuzi nguli aje anipe utofauti kimbinu ,Tena Mimi namuelewa Sana Ole Gunnar

Leo easily kabisa Newcastle wangeweza kushinda hata 7

Ninaposikia Eti Bado anamng'ang'ania Degea ,unaona kabisa Ni kocha muoga Sana kimaamuzi

Hata kumuondoa CR7 Ni Hadi pale Alipoambiwa Haheshimiwi ,lakini tukio la Kwanza la Cr7 kuondoka baada ya Sub hakutakiwa kucheza Tena .

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini huyu kocha wenu ana tofauti kubwa na waliopita

Geoff Lea mshabiki nguli wa manjesta analalamika kila siku kuhusu Degea na Uwezo wa 3+7hag , anaishia kutukanwa Sana
 

Sanaa ya tactical analysis imetupambaza sana ila mimi si mmoja wao ndio maana sipendi kabisa kujifunza sanaa hiyo wala kuwafuatilia wachambuzi wa sanaa hiyo japokuwa imekuwa na nguvu sana katika ulimwengu wa leo wa soka bila ya kusahau na sanaa ya data analysis

Sijui shape, overload, third man running, build up na mengineyo nawaachia wao.

Mimi ni muumini wa jicho lililowazi.
 
Huyu kufukuzwa had msimu ujao ,hapo mshamuongeza mkataba wa miaka mitatu

Bado natafuta mtu wa kunionyesha utofaut kimbinu ,Kati ya Ten hag na ole Guna

Kuna mstari mwembamba Sana Kati ya manjesta ya 7 hag na ole Guna
We utakua na chuki tu na ten Haag
Huwez kumfananisha ten Haag na OGS, na hio thin line unayozungumzia ni ten Haag anambinu zaid ya OGS period
 
Peponi moja kwa moja
 
Kipara atakaporuhusu kupewa mikataba wachezaji hawa wafuatao nitakuwa wa kwanza kumpinga japokuwa maandishi yangu hayatokuwa na nguvu yeyote
  1. Scott mctominay
  2. Fred
  3. Werghost
  4. Sabitzer
  5. Diogo dalot
  6. Wan bissaka
Tayari tumeshafanya kosa la kumpatia mkataba luke shaw.

Naendelea kumheshimu david de gea, kwa sababu kuna nyakati tulimpotezea ndoto yake ila si kwa sababu ya uwezo wake.
 
Ongezea na sancho anacheza kama kamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…