Manchester United (Red Devils) | Special Thread

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Niliposema hapa manjesta soon ataaanza kugombea nafasi ya europa nilitukanwa Sana

Sasa Spurs akishinda kesho anawashusheni had nafasi ya 5

Binafsi Bado Sion utofauti mkubwa wa 7+3hag na Ole Gunnar Sosha

Kama Kuna mchambuzi nguli aje anipe utofauti kimbinu ,Tena Mimi namuelewa Sana Ole Gunnar

Leo easily kabisa Newcastle wangeweza kushinda hata 7

Ninaposikia Eti Bado anamng'ang'ania Degea ,unaona kabisa Ni kocha muoga Sana kimaamuzi

Hata kumuondoa CR7 Ni Hadi pale Alipoambiwa Haheshimiwi ,lakini tukio la Kwanza la Cr7 kuondoka baada ya Sub hakutakiwa kucheza Tena .

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini huyu kocha wenu ana tofauti kubwa na waliopita

Geoff Lea mshabiki nguli wa manjesta analalamika kila siku kuhusu Degea na Uwezo wa 3+7hag , anaishia kutukanwa Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…