Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naomba pia kuchukua nafasi ya ndugu ARV

Hapo unaweza kuona title contender ana GD ya 6 wakati Top four contenders wana 43+

Ukinuna uwe na sababu
Mechi mbili dhidi ya newcastle united na crystal palace zilitosha kuwaondoa arsenal kwenye mbio za top 4, hawa wapumbavu wa tottenham kumbe wametukalia vibaya namna hiyo.

Nileteeni eriksen kabla ya jua halijazama
 
Tukiweka ushabiki pembeni siioni manjesta ya kumfunga Newcastle yenye Kiungo Bruno Guimares , Winga Saint Maximin , Alexender Isack ,kipa Nick pope


Na wale mabeki wao warefu

Bado sioni Mkipona leo ,japo mpira muda mwingine una maajabu yake

Prediction

Newcastle 2 manjesta 0
Utaahira ni mzigo mzito sana kwahiyo walipofungwa kwenye fainali ya Carabao hao wachezaji wako uliowataja hawakuwa wamesajiliwa?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Wueh! Michael Carrick namuona akiwapandisha daraja Middlesbrough msimu huu. Nakumbuka kipindi anapewa timu walikuwa mkiani kabisa wakiwa wamecheza michezo 16 na kupata 17 ila sasa hivi alama 70 tayari, alama moja tu nyuma ya Sheffield United aliye nafasi ya pili. Japokuwa wote wapo uwanjani mpaka muda huu.
Wanatakiwa kucheza gem ngapi
 
Kwa Newcastle Leo Kaz mnayo ,mkikaza Sana Sare

Mkipigwa ,Europa inawaita
Tukishinda napo utakuja hapa na kusema, hadi kwa Newcastle mnacheza mpira wa kuvizia

Mental Manchester inakutesa.
20230402_102659.jpg
 
Sijaitumia mda kuna update mpya? Uki update kawaida matangazo yanarudi
Chief nipe msaada wa mawazo.
Natumia laini ya tigo lakini kwa takribani miezi miwili sasa nakumbana na changamoto hii:

Baadhi ya wakati nashindwa kupata acces ya mtandao wa twitter na telegram.

Kwa mfano leo mara ya mwisho kuingia kwenye tovuti hizo ni saa 3 asubuhi.

Pengine hapo naweza kufika kesho bado sijapata access.

Cha ajabu zaidi tatizo hilo likijitokeza nashindwa kuconnect hata vpn
 
#Matchday
Premier League - GW29
New Castle
Sun, Apr 2, 𝟙𝟠:𝟛𝟘
St. James' Park


#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230402_120910_133.jpg
 
Although Luke Shaw, Anthony Martial, and Marcel Sabitzer were not seen getting off the bus with the #mufc, they may have travelled directly to the terminal instead.

[MEN]

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
 
Chief nipe msaada wa mawazo.
Natumia laini ya tigo lakini kwa takribani miezi miwili sasa nakumbana na changamoto hii:

Baadhi ya wakati nashindwa kupata acces ya mtandao wa twitter na telegram.

Kwa mfano leo mara ya mwisho kuingia kwenye tovuti hizo ni saa 3 asubuhi.

Pengine hapo naweza kufika kesho bado sijapata access.

Cha ajabu zaidi tatizo hilo likijitokeza nashindwa kuconnect hata vpn
Jaribu kuangalia access point mkuu, access point za wap ama web zina tabia ya kuchagua website, nenda setting kisha kwenye mobile network ingia access point name tengeneza Apn mpya iwe na neno Internet.
 
Bruno Fernandes has played 90 minutes in every Premier League game he's been available for this season (25/26)

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230402_120852_979.jpg
 
Erik ten Hag on Wout Weghorst potentially part of his long-term plans: "Of course. I think he is doing a lot of elements of football really well — Wout is doing a really good job for us".

Loan deal from Burnley does not include buy option clauses.

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230402_120817_056.jpg
 
Back
Top Bottom