Unakumbuka goli ulipata dk ya ngapi goli la 2?Fulham iliyokamilika hatuwezi kuifunga comfortable
Kwenye ligi
United 2 fulham 1
No redcard humo
Mkuu hoja ilikuwa hatuwezi kuwafunga umeletewa ushahidi unaanza tena ilikuwa dakika ya ngapi.Unakumbuka goli ulipata dk ya ngapi goli la 2?
Performance mbovu
Kama watu wanawonea aibu kuwaambia mm nitawaambia mna timu mbovu
Katika wale top 10 wewe una GD 6
After thisTeam of the Week
[SofaScore]
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2559439
Kwani we unaumia wapi kiongoziKocha akipewa wachezaji wake anaowata
Wachezaji wenyewe anaowataka kocha sasaView attachment 2559470
huyo ndo hamis77 mkuu ukibishana nae utachoka bure tu yeye alishasema aipendi man u kwaiyo hata umuelekezeje unajisumbua tu.Mkuu hoja ilikuwa hatuwezi kuwafunga umeletewa ushahidi unaanza tena ilikuwa dakika ya ngapi.
Kwani matokeo yalikuwaje? Mpira ni dk 90.
Utoto raha sana,unaandika lolote unalojiskia.Unakumbuka goli ulipata dk ya ngapi goli la 2?
Performance mbovu
Kama watu wanawonea aibu kuwaambia mm nitawaambia mna timu mbovu
Katika wale top 10 wewe una GD 6
Game ya kwanza MWAMBA aliwatungua Arsenal..Akawatungua City akaenda likizo akarudi akamtungua Barca na kama haitoshi kama uliangalia game VS Fulham na ukawa na mashaka na kipaji cha huyu mwamba LETA TEAM YAKOKocha akipewa wachezaji wake anaowata
Wachezaji wenyewe anaowataka kocha sasaView attachment 2559470
man u ndio timu iliyocheza michezo mingi mpaka sasa, fatigue na injuries ni nyingi.Unakumbuka goli ulipata dk ya ngapi goli la 2?
Performance mbovu
Kama watu wanawonea aibu kuwaambia mm nitawaambia mna timu mbovu
Katika wale top 10 wewe una GD 6
Yaani we Shabiki wa Arsenal kukaa kileleni msimu mmoja.Haya amekuja Muarabu Kama mnavyotaka ,akampa 3+7hag £300m ,si atatuletea wachezaji Kama hawa kwa £100m
Tuwe wakweli shida sio Graza ,shida ni mna Recruitment mbovu kabisa
Graza walaumiwe kwa kutotengeneza vyoo vya kuflashi na kuweka viraka uwanja usivuje maji
View attachment 2559121
How Jaman m ona utani usiomaamaTuna imani na Manchester United bingwa wa EPL 22/23