Matokeo yalikuwa yanajulikana tu Angalia mechi zote tulizocheza kwenye FA.We jamaa dah.
Nyie wenye mpo wote mbona hatuwaoni semi final?Aibu tupu against Fulham
Hadi wawe pungufu wachezaji wawili ndiyo kumfunga Fulham?
11-11 Fulham was better side,by far
Mwamba huyu hapaManchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester United 3 vs Fulham 1
Time
1.30
Stadium
Old Trafford
GGMUView attachment 2557626
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester United 3 vs Fulham 1
Time
1.30
Stadium
Old Trafford
GGMUView attachment 2557626
We pimbi na mbinu zao wameshinda ngapi leoKwahiyo manyumbu, Fulham kimbinu mmewazidi wapi Leo??
HakunaElanga hivi ana offer kitu gani hasa? Naomba kujua
EPL ana goli 27?Sasa wewe jamaa! Msimu huu Rashford ana goals 27 na assists 7
Wakati Martinelli ana goals 13 na assists 3. Acha kufananisha msitu na kichakaa!
Mm huwa nasema hakuna timu humu hamuelewi,Aibu tupu against Fulham
Hadi wawe pungufu wachezaji wawili ndiyo kumfunga Fulham?
11-11 Fulham was better side,by far
Huyu kocha Ni mbahatishaji, sitashangaa msimu ujao asifike disembaErik Ten Hag Atapewa kandarasi mpya bila kujali nani atakuwa mmiliki klabu. Man Utd wamemwambia wanataka kumbakiza muda mrefu zaidi kutokana na maendeleo aliyoyafanya tangu kuwasili kwake.
Erik Ten hag alisaini mkataba wa miaka 4 wa kukinoa kikosi cha Mashetani wekundu Mwaka jana mwezi June na sasa wekundu hao wamepanga kuendelea kuwa nae zaidi na zaidi ikiwa ni miezi 8 tu tangu amechukua timu toka kwa mtangulizi wake bwana Ralf
Chanzo Simon Mullock
Usishangae anaumia hamis77 wa arsenal sasa.
Hampend kuambiwa na kukubali ukweliWe pimbi na mbinu zao wameshinda ngapi leo
Fulham iliyokamilika hatuwezi kuifunga comfortableHampend kuambiwa na kukubali ukweli
Manjesta ni mbovu , Fulham iliyokamilika huwez kuifunga comfortable
Mlidanganyana humu mnabeba epl ,tuliwaonya Sana EPL ni mbio ndefu ,na ujanja ujanja huwa ni wa muda mfupi tu
Mpira wa janja janja huwa unasaidia kwenye tournament kwa kiasi fulani ila ukifika muda wa kuwekwa uchi mtawekwa
Ole Guna alicheza nusu fainal za kumwaga na fainal Europa na 2nd place EPL , mwisho wa siku janja ya nyani ikafika mwisho ,akala vipigo
3+7hag alioneshwa kidogo tu janja janja sio nzuri akala 7-0