Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya kushinda qarabao Akina Rashida na antonia pamoja na sachonka wanaona washamaliza kila kitu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuna tabia ya kuanza mechi kivivu, ugonjwa huu unaelekea kukosa dawa.

Tumekuwa tukiinua nguvu zetu kila ifikapo kipindi cha pili.

Ni kama vile wachezaji hawana uwezo wa kucheza kwa kiwango bora kwa dakika 90.
Sijui tatizo kuu liko wapi.
Mbwa ameshazeeka. Huwezi mfundisha mbinu mpya.

Ten Hag inabidi ajue kubadilisha mentality ya wachezaji aliowakuta ni ngumu mno.

Akipata fungu zuri, inabidi anunue wachezaji wanaoendana na mfumo wake na auze rundo la wafanyakazi hewa pale Carrington.

Misimu mitatu ijayo anatakiwa awe amesafisha 80% ya wachezaji aliowakuta.

Aje na wake wenye mentality anayoitaka.
 
Lile kundi lililojizolea umaarufu mkubwa sana miaka ya nyuma kwa kulitawala jukwaa la midfields ulimwenguni linatarajia kurudi tena kwa kishindo kupitia album yao mpya inayokwenda kwa jina la this is our time.

wawili hao wanafananishwa na kundi lile la wanasiasa wawili machachari waliozitawala siasa za nchi inayokwenda kwa jina la mamba mvivu kwa takribani miaka 20, hao mabwana wakaitwa boys 2 men, sasa wao wakaitwa McFred.

Taarifa nilizonazo mpaka muda huu album yao itaachiwa rasmi siku ya jumapili ya wiki hii ila kama kutanyesha mvua ya sabitzer basi album hiyo itawekwa pending mpaka mvua itakapokwisha.

Ni mimi reporter wenu radio ya mbao.

 
𝗠𝗔𝗦𝗒𝗑 π—šπ—₯π—˜π—˜π—‘π—ͺ𝗒𝗒𝗗 π—ͺπ—›π—˜π—‘ 𝗬𝗒𝗨 π—ͺπ—œπ—Ÿπ—Ÿ π—–π—’π— π—˜ π—•π—”π—–π—ž [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hapo "mtoe Soton muweke Brentford, au Brighton"
Inaonesha hujui MPIRA , ingekuwa hvyo matokeo yangekuwa yanatabirika kirahisi...


Mpira ni km vita..... Na vita ni mbinu
Hubadilika kulingana na Aina ya mpinzani unaekabiliana nae...
 
Hapo "mtoe Soton muweke Brentford, au Brighton"
Inaonesha hujui MPIRA , ingekuwa hvyo matokeo yangekuwa yanatabirika kirahisi...


Mpira ni km vita..... Na vita ni mbinu
Hubadilika kulingana na Aina ya mpinzani unaekabiliana nae...
Nazungumzia levels ,huwez kumpa chance kubwa ya kushinda Soton vs manjesta sawa na Brighton au Brentford vs manjesta

Ndio maana Soton yupo mkian ,hao wengine wamekuwa hata 4-0 wanakupiga
 
There is a serious possibility that United will offer Facundo Pellistri a new contract before sending him out on loan. The decision will be made in the coming weeks. Erik ten Hag is satisfied with him.

Hizi taarifa za mkopo zinanikera, kama vipi wamwache dogo aende zake kama hawataki kumtumia.

#FabrizioRomano
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Alejandro Garnacho’s injury is worse than expected. He could miss out on Argentina’s upcoming games.

#Gastonedul
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
#MUFC are planning to let Facundo Pellistri head out on loan next season.


[Samuel Luckhurst]
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Andre Onana on the Europa League Final: In the tunnel, Amin Younes came to me. He was one of the most important players in our team at that time. He was shocked by the size of the arms of his direct opponent, Antonio Valencia. He told me: 'I can't play against him'.

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alijaa upepo mapema tu..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kipindi hiyo Valencia chuma ilikuwa imekubali balaa.
 
[emoji1022]󠁧󠁒󠁳󠁣󠁴󠁿 Scott McTominay in Scotland squad.

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…