Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United wako tayari kutoa euro 130m (£115m) kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa Eduardo Camavinga, 20, kutoka Real Madrid. (Fichajes – in Spanish)
Mshambulizi wa Tottenham na England Harry Kane, 29, yuko kwenye orodha ya usajili ya meneja wa Manchester United Erik ten Hag, kama ilivyo kwa kiungo mshambuliaji wa Ghana Mohammed Kudus, 22 kutoka klabu ya zamani ya Mholanzi huyo Ajax. (TalkSport)
Lakini United watataka kuwauza wachezaji kadhaa wa kikosi cha kwanza, akiwemo beki wa Uingereza Harry Maguire, 30, ili kutoa nafasi kwa wachezaji wapya msimu huu wa joto. (ESPN)
 
Hapa kwa Camavinga ndio uhakika.
 
Man city have allowed Manuel Pelegrini's Real Betis to train at the city's training ground ahead of their UEL clash against Manchester united.


Adui wa adui yako ni rafiki yako.
🤣🤣🤣🤣Kawaida hii,
 
Wacha tuone leo wamejifunzaa au wanaenda kuruka uwanjani leo betis wapigwe pressing mwanzo mwisho. Matokeo mazuri ya leo ndo yanaweza kufuta kelele wiki hii maana ni ndefu mno.
 
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha


Prediction

Manchester United 3 vs Real betis 1

5:00 usiku

Old Trafford

Back to the action

Sasa wewe wabetie Real betis kama hayo magoli utawafungia wewe.

GGMU
 
Sisi hatutaacha kupost hata mkishinda mia..

Tena ngoja nifungue ma file yangu nijiandae.
Unajua Kwanini bado una post kwasababu Man U ni kubwa kuliko timu yako ipo hivyo siku zote timu ndogo ikifunga timu kubwa upiga kelele kwa Muda mrefu maana hayo maisha hawajazoea Madrid kawakanda Liverpool goli 5 wala avimbi popote.
 
Mwarabu apewe timu haraka sana
The Qataris will walk away from their bid to buy #mufc if the price is not right. Sheikh Jassim is ready to buy for a fair price but will not be held to ransom. Whilst there is a general acceptance that whoever buys United will have to overpay, Sheikh Jassim will not be reckless.
[@SkyKaveh]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…