Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila kuna kitu nyuma ya pazia...kipindi cha mzee ferg sikuwahi kushuhudia maumivu kama haya ni KWA nini Man U imekuwa laini kiasi hiki?
Aisee! Kila nikikaa nafikiria goli saba nahisi kama kuna msiba.
 
Ila kuna kitu nyuma ya pazia...kipindi cha mzee ferg sikuwahi kushuhudia maumivu kama haya ni KWA nini Man U imekuwa laini kiasi hiki?
Aisee! Kila nikikaa nafikiria goli saba nahisi kama kuna msiba.
Mpira wa zamani wa miguvu kulukundu sasa ivi haupo mdau timu nyingi ni laini mno so ukiotewa kula saba kawaida tu
 
Ila kuna kitu nyuma ya pazia...kipindi cha mzee ferg sikuwahi kushuhudia maumivu kama haya ni KWA nini Man U imekuwa laini kiasi hiki?
Aisee! Kila nikikaa nafikiria goli saba nahisi kama kuna msiba.
Me naona na Tactical approach ya kocha(10Hag) imechangia sana wao kula 7, kwa sbb huwez sema unaenda kiwanja chenye atmosphere kama Anfield hlf unasema mara ooh wana miguu miwili kama sisi sijui refa ni wa4 mara mpr ni round ule ule.. Izo porojo nilijua anasema tu kwny press kuwapa confidence wachezaj kumbe akaenda kbs sik iyo bila heshima akataka kupishana na liva bila kujua fika wapo kwao kwny Wild atmosphere ambayo team nyng zinakupa ushuhuda ni ngum kudeal nayo.

Nilikua nasikiliza interview moja ya Rio wanasema kipind kile wanaenda anfield wanajua kbs ni tough game na babu(Fergie) alikua anachange game plan wanacheza 4-5-1 ili wawe more compact na wacheze waksbr moments za kuvizia kuwakuta liva off guard.
 
Manchester United Ndoo Timu Iliyopigika Vipigo Vikubwa Ndani Ya Miaka 3 Iliyopita



Manjesta 1-6 Tottenham
Manjesta 2-4 Liverpool
Leicester City 4-2 Manjesta
Manjesta 0-5 Liverpool
Watford 4-1 Manjesta
Man City 4-1 Manjesta
Liverpool 4-0 Manjesta
Brighton 4-0 Manjesta
Brentford 4-0 Manjesta
Man City 6-3 Manjesta
Liverpool 7-0 Manjesta

Takwimu Hazidanganyi
 
Babu angalia ramani zingine.... kwani huna cha kupost kwenye jukwaa lako?
Nyinyi mbona tuliwachapa bao 8 na ikawa kawaida tu kama kafa shoga!!!

Mushatamba tumewaelewa..... na ndio ushabiki, lakini nyinyi mpaka leo?

Hivi unajua leo ni siku ya 4!..... chakusikitisha ni kwamba, wenyewe mashabiki wa Liverpool wamesha yamaliza,... tatizo nyinyi vibonde wa Arsenal sasa....... utadhani muliweka nadhiri.

Kachezeni munako chezaga bhana, tuacheni kidogo tupumue.
 
Baada ya kufungwa goli 5-0 dhidi ya Barca,kocha wa wakati huo wa Madrid Jose Mourinho alisimama kwa kujiamini sana mbele ya kamera na vinasa sauti vya wanahabari akisema "ni heri nifungwe goli 5 mara moja kuliko kufungwa goli 1 mara tano". Baada ya hapo jamaa aliitengeneza Madrid yake kiasi kwamba Barca ikawa inapata matokeo ya ushindi kwa nadra sana dhidi ya ile Madrid chuma ya Mou.

We will bounce back!
 
Yani nyinyi kumbe mmeshaamka na chai mmekunywa? Mmepata wapi hizo nguvu za kuamka na kunywa chai makubwa jinga nyinyi mnatakiwa kushinnda njaa hakuna kula
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…