Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Nadhani ameona namna mpira wa kina Rashidi Mpemba unavyopata pancha pale AnfieldView attachment 2539117
Jamaa sijui anajiona nani.. ni unprofessional kuongea kauli kama hizo.
Maneno hayo ilitakiwa aongee shabiki na sio kocha.
Ila liver kufungwa mara nyingi zaidi na barca ni heshima!No ni 2004/2005.
Stats zinaonesha Liverpool alisonga mbele mara mbili kwenye hatua zinazofuata kwa kukutoa, Kwangu bado hiyo ni dharau tu.
Kiukweli mwamba Martinez alionekana kuchoka sana.Jana tumechapika balaa, tuliingia kwenye mfumo wa wahuni na tukajaa kweli kweli, sema sio mbaya tumecheza game kibao mfululizo.
Muhimu tuko bado kwenye mashindano yote, nasemaje ubingwa wa EPL bado tunautaka mjiandae mlio juu huko tunakuja maana tusha maliza game za kufungwa zilizo baki ni kujipigia tu.
SEMA SABA NYINGI AISEE.
Leo mtataja mizimu yote😂😂Kiukweli mwamba Martinez alionekana kuchoka sana.
Fernandez alionekana kuchoka sana. Jana nilimkimbuka Mzee Ferguson
Alikuwa Fernandez apunzike, asianze, akae sabtzer...
Alikuwa amuweke margure, Bisaka, Malaysia na yule mswdesh backline.
Sio mbaya tuangalie game zijazo tunashindaje.Kiukweli mwamba Martinez alionekana kuchoka sana.
Fernandez alionekana kuchoka sana. Jana nilimkimbuka Mzee Ferguson
Alikuwa Fernandez apunzike, asianze, akae sabtzer...
Alikuwa amuweke margure, Bisaka, Malaysia na yule mswdesh backline.
Icho ndo kichapo Cha mwisho kwa mwezi huu mkuu hatufungwi tena huko Carrington viboko vipo kutembea kwa uzembe wa jana.Mpira wa man u, ni kama timu zilizo kwenye hatihati ya kushuka daraja. Mbinu zao zimejengwa zaidi kwenye hamasa, counter na defence basi.
Game ijayo mna southermpton, hapo mnaenda kupigiwa low block na counter attack. Sasa mna Mpira wa kufungua low block, tuanzie hapo kwanza.
Halafu mna Brighton mbabe wa aliye wapiga 7, Yan kazi mnayo mwaka huu
Nyie mnacheza zaidi kihamasa kuliko mbinu, nawafatiliaga sana game zenu.Icho ndo kichapo Cha mwisho kwa mwezi huu mkuu hatufungwi tena huko Carrington viboko vipo kutembea kwa uzembe wa jana.View attachment 2539235
💯Nyie mnacheza zaidi kihamasa kuliko mbinu, nawafatiliaga sana game zenu.
Mkuu Mc cane nashukuru nimekuona wakati huu mzito kwetu,ushiriki wako umepungua kwa kiasi chake siku za karibuni unajua?The doomed day 5th March, 2023, forward we move
Glory glory Man Utd
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Na huu ndiyo ukweli ambao mashabiki wa manyumbu wanaupuuza.Nyie mnacheza zaidi kihamasa kuliko mbinu, nawafatiliaga sana game zenu.
Ngoja wakuatane na Brighton ambaye sio Arsenal au city au Liverpool anayemuweza Brighton kwenye buildup na kuupanga mpira chini ,wapeleke mpira wao wa ujanja ujanja watapigwa 7 Tena na BrightonNa huu ndiyo ukweli ambao mashabiki wa manyumbu wanaupuuza.
Wanacheza kihamasa zaidi kuliko mbinu za kueleweka za mpira.
Msimu wa kwanza wa kocha, msimu wa kwanza kwa baadhi ya wachezaji kuweza kuchukua kombe na kuweza kuwa tishio kwa timu zilizoko mbele yake kimsimamo basi ni mafanikio makubwa. Kila mtu acheze mechi zake mwisho wa siku utavuna unachostahili.Hivi mko serious mnagombea EPL au top four?
Game zilizobaki wakienda kichwa kichwa una wahuni wanaoshuka daraja na hakika kuna match Tatu mpaka nne za kupakatwa.Uingereza ni pahala pa ajabu sana.Jana tumechapika balaa, tuliingia kwenye mfumo wa wahuni na tukajaa kweli kweli, sema sio mbaya tumecheza game kibao mfululizo.
Muhimu tuko bado kwenye mashindano yote, nasemaje ubingwa wa EPL bado tunautaka mjiandae mlio juu huko tunakuja maana tusha maliza game za kufungwa zilizo baki ni kujipigia tu.
SEMA SABA NYINGI AISEE.