Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester jana mmeonyesha ushetwani wenu halisi; tena ule haukuwa ushetwani bali MAPEPO. Jana mmetolewa jumla ya mapepo 7. I hope sasa mmepona kabisa aisee!!
 
Vile tunawacheck😂
 

Attachments

  • JamiiForums1454504646.jpeg
    93.5 KB · Views: 12
Mkuu Jana kichwa kimeniuma sana na bora ningeenda kuangalia mpira bandani ila nikasema nilipie niangalie burudani nyumbani,
Najutia pesa yangu....
Usijali mkuu. Taabu na misukosuko ndiyo hukomaza akili
 
Madrid kafungwa saba? Barca mlimfunga saba? Tunakubali kufungwa kupo ila sio kufungwa 7.
Timu iliyo timamu haiwezi kuruhusu rundo la magoli
 
Madrid kafungwa saba? Barca mlimfunga saba? Tunakubali kufungwa kupo ila sio kufungwa 7.
Timu iliyo timamu haiwezi kuruhusu rundo la magoli
Katika mabao saba
Hata angekuwa Manula,angepangua japo mawili.

Ndugu yetu De Gea kama pazia tu
Yupo anaabudu sijui pale chini
 
Hivi mko serious mnagombea EPL au top four?
 
Me sijawahi ona united tukifungwa goli 7 au zaidi.Au me mdogo wakuu? Maana sijawahi ona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…