Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na uzi wenu utapamba moto,klopp atapumzika madongo kwa muda wa kutoshaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa ni zamu yetu kutembea kifua mbele wiki nzima kama mabao yetu 7 yanavyojieleza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
DAIMA MIMI MANCHESTER UNITED HATA TUFUNGWE 100.

naamini tutarudi tena tukiwa imara zaidi.

NYIE LOOSERFOOL HAMJAIFUNGA MAN UTD ISIPOKUWA MUMEUFUNGA UCHOVU.
#GGMU
Unaongea nini?Imeshaingia kwenye rekodi hio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,haitakaa ifutike

Si mlikua mnamlaumu Ronaldo nyie?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,mwenzenu anakula kibunda kwa waarabu huko 🀣🀣
 
Dah,yani nikimkumbuka yule jamaa aliekuwa ananicheka,Bournemouth walivyokuwa wanaongoza 2-0 jana,huku akijua kuwa leo atachomoka,nina mashaka hata simu atakuwa kaitupa leo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…