Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna upumbavu unaendelea huko England. Kamati ya maadili ya chama iwachukulie hatua za kinidhamu hao Liverpool. Wanachowafanyia Manchester sio vizuri.
 
Clean sheet ya goli 7 aiseee . ..tafuteni la machozi wajombi
 
Hebu subirini.

Hivi kuanzia 2018 kuna msimu United hajapigwa kuanzia 5 kuja juu hebu kumbukeni vizuri.

Haya majinga yamezoea yaani hapo roho haiumi
 
Mkuu kubali kuwa mpira matokeo yake yanapatikana uwanjani kifupi wachezaji wetu wamechoka sana na pia leo sisi hatukuwa na bahati maana sisi ndio tulianza kupata nafasi tukachezea lakini angalia Liver kila mpira wataopiga golini kwetu unazaa goli tukubali kuwa tumebaki na makombe mawili tuheshimu wenzetu tuache hasira hii game Liver walikuwa na hamu nayo kuliko sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…