Au sporting Lisbon kwa dau neneGarnacho akiendelea na kiwango hiki namuona akienda madrid kwa dau kubwa
Mashabk wa arsenal wanajichanya sana coz had sasa hata kikombe cha bata hawanaLuke Shaw
Akihojiwa Na Piers Morgan
“Mchezaji Aliyenipa Wakati Mgumu Tangu Nmeanza Soka Ni Bukayo Saka,Alinipa Wakat Mgum Sana Kumkaba.Kuna Mda Niliomba Sub Lakin Kocha Akagoma,Akasem Pamban Tu Malacia Miguu Imejamu Huku Hamna Namna Malizana Naye"View attachment 2536249
Cry moreMashabk wa arsenal wanajichanya sana coz had sasa hata kikombe cha bata hawana
Na baada ya Rui Fariah kuondoka timu za Mourinho zikawa weak sana kimbinu.Somo zuri sana hili la managerial skills,inaonesha wenzetu wanaangalia zaidi output kuliko position. I am not suprised RUI FARAI na Maurinho walifuatana kila mahali na RUI alipenda zaid kuwa assistant.
EtH anamkusanyiko wa skills nyingi sana. Makocha wote wataanza kumkimbia.
Siyo kwamba kabla ya kwenda Fc Twente Steve Maclaren alikuwa msaidizi wa FergusonMaisha yanaenda kasi sana
From fc twente to united