Tukutane nae nusu/fainali europerYule jamaa anamasifa sana ila mpira wake ni wakuotea otea tu sijui angekuwa na consistence kama Debrune sijui ingekuwaje.
Sababu ya lugha...Sema South American player kiwango kikiwa kikubwa wanapenda kwenda Real au Barcelona.
Au sporting Lisbon kwa dau neneGarnacho akiendelea na kiwango hiki namuona akienda madrid kwa dau kubwa