Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu huu sasa hata wachezaji wakisema wanaenda vacation kwakweli wanastahili.

Sasa hivi ni mechi baada ya mechi na zote ni mechi muhimu sana lakini kuna watu bado hawataki wachezaji wapumzike.

Mechi ya Liverpool - Anfield naiogopa sana, haijalishi wapo katika kiwango gani. North-West Derby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…