Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumeona ni kwa nini Maguire na Lindelof wanastahili kuwa benchi..

Dalot naye anarukaruka tu.

Hapo middle of the pack creativity imekosekana..
 
Ila we jamaa unajua kulalamika, maana kwako siku zote Ten Hag anakosea kikosi.

Relax. Let's trust the manager asee, kuna kitu anaona ambacho sisi hatuoni.
Mbinu zake sizipendi kabisa..eti waanze watoto dakika ya 60 waingie wakubwa. Kwa nini wasianze wakubwa wakashinda mapema then wakaingia watoto. Ndio maana nilimpenda sana Mou.
 
Mbinu zake sizipendi kabisa..eti waanze watoto dakika ya 60 waingie wakubwa. Kwa nini wasianze wakubwa wakashinda mapema then wakaingia watoto. Ndio maana nilimpenda sana Mou.
Tayari sasa ndio anaanza kuwaleta wakubwa huku tumefungwa
 
Baada ya kupigwa naona kocha anawaandaa rashford na martinez haraka haraka.Ujinga huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…