Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilidhani ETH anataka makombe yote haya kumbe nimejidanganya. Kikosi dhaifu sana, wakati wapinzani wameweka full mziki. Sijui kesho tutaficha wapi sura zetu kwa mashabiki wa aseno. View attachment 2534159
Kosi la ushindi hilo, mpira ni mbinu na utimamu wa wachezaji tu.

Hiki kikosi bado ni levels ahead of West Ham.
 
Nilidhani ETH anataka makombe yote haya kumbe nimejidanganya. Kikosi dhaifu sana, wakati wapinzani wameweka full mziki. Sijui kesho tutaficha wapi sura zetu kwa mashabiki wa aseno. View attachment 2534159
Ila we jamaa unajua kulalamika, maana kwako siku zote Ten Hag anakosea kikosi.

Relax. Let's trust the manager asee, kuna kitu anaona ambacho sisi hatuoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…