Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,129
- 54,254
WBS ndy mchezaji mwenye blocks na tackles nyingi Sana kwenye back line yetu.
Dalot anashambulia Zaidi lakini ni mchovu kwenye kuzuia.
Kwangu Mimi WBS ni bora kuliko Dalot sababu Kazi ya beck ni kuzuia na sio kushambulia.,,
Huyo ndy spider man Aron Bisaka
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Kuna mtu apo kavuliwa tambala kiaina.Timu inatakiwa kuwa na mshikamano kama hivi Mpaka kocha anauza sura hapo.View attachment 2533018
Kwanini?Jaman Leo nimelewa
Sio timu zote zinategemea Beck za pembeni kupanda,Probably hayo yalikuwa majukumu ya beki miaka hiyo but modern football ina demand beki ku assist build up au mashambulizi inapobidi.
HongeraJaman Leo nimelewa
Timu ipo vizuri sana..hamna chokochoko..Timu inatakiwa kuwa na mshikamano kama hivi Mpaka kocha anauza sura hapo.View attachment 2533018
Tuzo ya nini iyo tenaTimu inatakiwa kuwa na mshikamano kama hivi Mpaka kocha anauza sura hapo.View attachment 2533018
Upo wapiJaman Leo nimelewa
Maana mwenyewe nimelewa hapaJaman Leo nimelewa
Tulewe woteJaman Leo nimelewa
Safari hii kocha tunae sio yule wa the team is good
I second you broNdy jukumu alilonalo kwa sasa,,
Hata tukisajili striker lakini sio mtu wa kukaba kama weghorst,
Tutarudi kule kule kwenye maumivu ya kupoteza.
Man U vs Newcastle weghorst pia alifanya Kazi kubwa ya kublock na tackles nyingi uwanjani..
Tunaojuwa mpira tunasema weghorst apewe mkataba permanent na sio mkopo tena..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Wote watabasamu๐ isipokuwa iqbal tu.Timu inatakiwa kuwa na mshikamano kama hivi Mpaka kocha anauza sura hapo.View attachment 2533018
Spurs itakuwaje wakifungua trophy cabinet yao[emoji599][emoji599][emoji599] All flights in England have been cancelled due to a sandstorm which came after Man United opened their trophy cabinet to put the League Cup in it.
#Joke[emoji16]
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |
View attachment 2533209
๐ ๐ ๐ oky amkaBado nimelala
Vumbi kama La Lile Bomu La Hiroshima & Nagasaki[emoji378] Litatanda angani, Guess what [emoji3] Dunia itapitia Magumu pasipo oksijeni kwa miaka ๐๐๐๐ธ๐๐ mfululizo[emoji1787][emoji23][emoji1787]".Spurs itakuwaje wakifungua trophy cabinet yao