Qatar apewe timu.Mbaya zaidi hakuna mtu alitarajia hii big result kwa muda mfupi. Haya maono alikuanayo mwenyewe tu! I believe next season atapatiwa kilakitu, imani imeongezeka.
How it was€1.4m will only get you one penalty. If you want more, pay more.
#DryJoKe
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2528014
Ila nyie mshaludi mkuu ongereni.United na Barcelona recently wote wanastruggle kurudi kwenye glory days. Washed team imemshona washed team mwenzie and fans forget where are they really.
Merde
Yule babu kwa muda aliofanya kazi pale UTD, amekuwa shabiki wa kutupwa.Nimemuona Sir Fergie kashangalia goal la Antony ile mbaya.
Hivi shabiki wa Arsenal anapata wapi nguvu ya kutoa kauli kama??United na Barcelona recently wote wanastruggle kurudi kwenye glory days. Washed team imemshona washed team mwenzie and fans forget where are they really.
Merde
Kipara mwenyewe naona ameshajua hilo, na anaweza kuondoka Etihad ili asikutane na hiyo hali.TEN HAG kabadilisha kabisa mambo huko, hongereni sana kwa ushindi
Man U nawachukia ila Barcelona zaidi. Bora mmewamaliza jana
TEN HAG akipata wachezaji wazuri zaidi Ufalme wa kipara utakuwa umefika ukingoni
United na Barcelona recently wote wanastruggle kurudi kwenye glory days. Washed team imemshona washed team mwenzie and fans forget where are they really.
Merde
Huyu jama "the butcher" ni beki kisiki kweli kweli.Lisandro Martinez's game by numbers vs. Barcelona:
70% duel win rate
63 touches
35 passes completed
5/9 long balls completed
4 clearances
4/5 tackles won
Leaving Old Trafford with Lewandowski in his back pocket.
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2528013
Huyo asenane hatuwezi tena kwa njia yoyote kukutana naye kashatoka makombe yote, kabakiza premier, ana bahati sana.Roho imeniuma sana kumpiga Bakari goli 2 tu, hawa leo walistahili kufungwa sio chini ya goli 4.
Tuleteeni Asenyo nae tumnyooshe.
Hii sasa ndio Man Juu ninayoijua mimi.
Huyu mjinga nyamanolokwetu atakuwa kajificha wapi saa hii.commentator gani acha UFALA kudanganya humu wewe,kalia msumari huo ukuingie vizuri
Bruno Fernandes and Lisandro Martinez.Nani mchezaji wako bora wa mechi?
Me: Fred
Noma sana uyo mtu, kuna mabeki wachache sana waliopita pale utd wako level zake.Huyu jama "the butcher" ni beki kisiki kweli kweli.
FRED & LICHABruno Fernandes and Lisandro Martinez.
Goli la pili hukuona kuwa yeye ndo mpishi?FRED & LICHA
Bruno hapana kwa jana. Ni ile assist moja tu alitoa hakuna kitu kikubwa kingine alifanya.
United na Barcelona recently wote wanastruggle kurudi kwenye glory days. Washed team imemshona washed team mwenzie and fans forget where are they really.
Merde