Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,827
- 11,648
Verghost, Huyu jama noma sana. Sijui hata anacheza namba ngapiJamaa linahangaika bhana, jamaa linakaba balaa.
Hana lolote.Verghost, Huyu jama noma sana. Sijui hata anacheza namba ngapiJamaa linahangaika bhana, jamaa linakaba balaa.
Anacheza namba 10Verghost, Huyu jama noma sana. Sijui hata anacheza namba ngapiJamaa linahangaika bhana, jamaa linakaba balaa.
Kama ulivyoyapokea ile siku tunacheza na Arsenal, halafu akipelekewa mashambulizi sana huwa anageuka kuwa msindikizaji tu.Leo upande wa Shaw unapokea mashambulizi mengi mno..
Hili jamaa nalo la wapi..unamjua Shaw wewe kweli?
Namba 10 kwenye makaratasi. Lakini physically uwanjani hahusiani kabisa na hiyo namba.Anacheza namba 10
Yupo sahihi msindikizaji sana. Utakuta wametoana katikati mpaka golini.Hili jamaa nalo la wapi..unamjua Shaw wewe kweli?
Nadhani hapo Madrid wanatakiwa wamtake Bruno..lile pasi si la dunia hiiMpira naweza sema ni sanaa mfano lile pasi la kiwango cha SGR la Maestro Bruno Fernandes,Huyu Rashfod sitoshangaa kusikia Madrid wanamtaka
GGMU
Ungekuwa hapa karibu ningekupiga bonge la mbata..ongea ujinga wako wote usimguse Shaw.Hawa watu Dalot Lindelof na Shaw hawapaswi kuanza pamoja.
Unakuta Shaw na Lindelof wasindikizaji sana.
Dalot akili ipo kushambulia tukipoteza mpira ndio hivyo mpira ni threat tena.
Wan Bissaka aiingie bana kupunguza makali ya kushambuliwa.
Naona mzee unaangalia Goli tu.Ungekuwa hapa karibu ningekupiga bonge la mbata..ongea ujinga wako wote usimguse Shaw.