Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kosi la leo nina mashaka na upande Wa Dalot na Lindelof

Lindelof tatizo lake anasindikiza mpaka kwenye box, angekaa wan bissaka badala ya Dalot. Hakuna kusindikiza.

Gernacho kama kawa akianza majanga, ngoja tuone.

Why hawamfikirii facudo
Pale nyuma kuna msindikizaji mzuri kama Shaw?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Verghost, Huyu jama noma sana. Sijui hata anacheza namba ngapi [emoji23][emoji23] Jamaa linahangaika bhana, jamaa linakaba balaa.
Hana lolote.
Kama yeye ni mkabaji aende akakabe muembe yanga aone kama hawajamtia kibiriti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…