Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kosi la leo nina mashaka na upande Wa Dalot na Lindelof

Lindelof tatizo lake anasindikiza mpaka kwenye box, angekaa wan bissaka badala ya Dalot. Hakuna kusindikiza.

Gernacho kama kawa akianza majanga, ngoja tuone.

Why hawamfikirii facudo
Mimi na wewe sijui mkuu japo kijana anaonyesha impact kubwa sana akiwa uwanjani.
 
Kosi la leo nina mashaka na upande Wa Dalot na Lindelof

Lindelof tatizo lake anasindikiza mpaka kwenye box, angekaa wan bissaka badala ya Dalot. Hakuna kusindikiza.

Gernacho kama kawa akianza majanga, ngoja tuone.

Why hawamfikirii facudo
Kocha ana tabia ya "kutunza" wachezaji kwa ajili ya mechi ijayo. Naona Bissaka na Varane wametunzwa kwa ajili ya Barcelona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…