Wins player of the week wakati hayupo kwenye kikosi cha week, hii inaitwaje[emoji966] Manchester United's Marcus Rashford wins Player of the Week [emoji122]
#UELPOTW
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2520559
Player of the week wanatoa UEFA EUROPA LEAGUE ila hiyo Team of the week wameitoa SOFASCORE hivyo basi ni vyanzo viwili tofauti.Wins player of the week wakati hayupo kwenye kikosi cha week, hii inaitwaje
Nani aliitafta sare kati ya man u na barca??Hongereni kwa ushindi jana nyie manure maan sishani kama kuna team kutoka EPL imeshawi kuondoka na ushindi pale camp nou .Kupata sare ni ushindi mkubwa sana kwenu.