Huyu kaitafuta mwenyewe wakati mwingine tusimtetee.Casemiro njao nae
Hii sheria UEFA si walishaiondoa mkuuHaya magoli ya ugenini ni ya muhimu sana.
Bissaka hamna kitu asipoangalia atarudi kama kipindi kile mpaka tukamsahau.Kocha bora amuweke Dalot, Bissaka anapewa pasi za maana anashindwa kutulia kumwaga maji.