Waarabu wanakuja kwa kasi. Kesho inasemekana ndiyo ilikuwa mwisho wa ku-bid kwenye deal la kuinunua United sasa huko Twitter naona tweets za kiarabu tu na picha za United zikitembea kutoka kwa watu/vyanzo vya karibu huko Qatar.
"Today I feel Qatari." 🇶🇦