kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,777
- 20,695
Beki za barca zina matobo ?? Huifatilii barca ndugu yangu barca ndo team yenye most clean sheets la liga na msimu huu kafungwa goal 7 tu.#GGMU
Barca anafungika tukiingia na mkakati mzuri,,,,
Beki zake Sina matobo recently !!!
Labda Barca ya kijijini kwenu sitimbi.#GGMU
Barca anafungika tukiingia na mkakati mzuri,,,,
Beki zake Sina matobo recently !!!
Kwenye ligi tano bora Barcelona pekee ndiyo kafungwa goli chache.#GGMU
Barca anafungika tukiingia na mkakati mzuri,,,,
Beki zake Sina matobo recently !!!
Watu wanaongozwa na mihemko tu pamoja na maoni wa vichambuzi vya kubumba vya kizungu ulaya. Huyo dogo ana mapungufu yake kweli ila huwa anaweka balance ya timu sana tena sio kidogo hasa hasa tukiwa hatuna mpira.Kuna watu humu hua hawaoni kabisa mchango wa Anthony kwenye timu, ila yule jamaa pamoja na maujingaujinga yake hua analeta balance kubwa sana kwenye timu.
Uwepo wake hua unapunguza kwa kiwango kikubwa mashambulizi upande wetu. View attachment 2519238
Kabisa mkuu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu awe upande wetu
EtH angemuacha Anthony uwanjani ile game ya Arsenal tungetoka na kitu.Watu wanaongozwa na mihemko tu pamoja na maoni wa vichambuzi vya kubumba vya kizungu ulaya. Huyo dogo ana mapungufu yake kweli ila huwa anaweka balance ya timu sana tena sio kidogo hasa hasa tukiwa hatuna mpira.
Watu wengi sana wanamhukumu kwa ile price tag tuliyolipa Ajax kwa uzembe wa watendaji wakuu wa timu pamoja na bodi walifanya timing mbovu sokoni. Muda mwingi wali-focus kwa De Jong muda tunaenda Ajax tayari walikuwa wameuza wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza na hawakuwa tayari kumuuza, we forced them to strike the deal.
Sub aina kitu mkuu garnacho ni wa kutokea sub tu umeiona sub aina wachezaji wa maana kabisa.Last match Sancho katucheleweshea ushindi naona leo kamuanzisha tena. Huyu kocha kichwa ngumu sana.View attachment 2519631
Garnacho hajawahi kuanza mechi akacheza vizuri..Last match Sancho katucheleweshea ushindi naona leo kamuanzisha tena. Huyu kocha kichwa ngumu sana.View attachment 2519631
Mkuu huyo jamaa uwepo wake hapo mbele unawatisha mabeki.Weghorst labda acheze nyuma ya Rashford..tofauti na hapo ni same story tu...Na hili naona litakuwa gumu coz sioni EtH akimpeleka Fernandes kulia.