Bado mapema mkuu.Tofauti yetu na mtu wa 5 ni alama 7!
Newcastle mechi zake mbili zijazo ni L'pool na City. Tottenham mechi zake mbili zijazo ni West Ham na Chelsea.
Top four??Bado mapema mkuu.
Bingwa Ili aajihakikishie awe na point 70 otherwise bado tupo kwenye title race.
Kuhusu top four. Itategemea na kupoteza na kudroo hovyohovyo
Tuko pazuri,,,,tupambane,,,,Tofauti yetu na mtu wa 5 ni alama 7!
Newcastle mechi zake mbili zijazo ni L'pool na City. Tottenham mechi zake mbili zijazo ni West Ham na Chelsea.
Game Kama hii tunammiss Sana Anthony,,,,Matchday...GGMU
=====
My Starting XI vs Barcelona
=====
De Gea
AWB Varane Shaw Malacia
Fred Casemiro Fernandes
Pellistri Rashford Sancho
=======
Najikuta namuombea huruma.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 2519134
Yeah..Anthony huwa anatusaidie sana huu upande wa kulia.Game Kama hii tunammiss Sana Anthony,,,,
Ule upande anafosi Sana hatushambuliwi kizembe ,,,,
Wacha tuone ETh atakuja na mpango mkakati wa Aina gani !
Kuna watu humu hua hawaoni kabisa mchango wa Anthony kwenye timu, ila yule jamaa pamoja na maujingaujinga yake hua analeta balance kubwa sana kwenye timu.Game Kama hii tunammiss Sana Anthony,,,,
Ule upande anafosi Sana hatushambuliwi kizembe ,,,,
Wacha tuone ETh atakuja na mpango mkakati wa Aina gani !
😂 Wataanza kuelewa sasa maana kuna mashabiki wao ni stats tu mpira hawaangalii.Kuna watu humu hua hawaoni kabisa mchango wa Anthony kwenye timu, ila yule jamaa pamoja na maujingaujinga yake hua analeta balance kubwa sana kwenye timu.
Uwepo wake hua unapunguza kwa kiwango kikubwa mashambulizi upande wetu. View attachment 2519238
Guesswork tu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 2519134