Kuna game EtH ametunyima points kwa kutofanya Sub mapema au na kuanza na watu ambao hawana mchango wowote.Mie tokea Ile gemu ya mrudiano ya arsenal tuliopoteza, ilikua ni uzembe wa ten hag kushindwa kufanya sub mapema alinikera sana, ijapokua nakubali kuwa kwa Sasa tumebahatika kupata kocha mzuri.
Hii gemu ya Leo asingefanya sub mapema tusingepata ushindi huenda tungefungwa kabisa na hawa Leeds.
Kabisa mkuuKuna game EtH ametunyima points kwa kutofanya Sub au na kuanza wa watu ambao hawana mchango wowote.
Hii timu bado sana mupira wake wa kuotea otea tu
Hii siyo Chelshit.Hii game inaisha draw
Come on Leeds 😆💪🏾💪🏾💪🏾
Tunasikitika game yetu dhidi ya Barcelona hatokuwepo[emoji22]Martinez ni wa moto sana alivyoingia tu kaleta balance na utulivu uwanjani..
Maguire ni wa kuwekwa tu sokoni coming July.
Ana uwezo mkubwa sana wa kupiga pass ndefu.Martinez ni wa moto sana alivyoingia tu kaleta balance na utulivu uwanjani..
Lakini leo nimeona kafanya kosa moja tu ambalo ali rectify mwenyewe.Maguire ni wa kuwekwa tu sokoni coming July.
Huyu nae utafikiri alikuwepo United misimu mitano. Hana mambo mengi ila kazi tu
Sabitzer, huyu mchezaji tumnunue tu.
Maguire ni wa kuwekwa tu sokoni coming July.
Atakua anajichua Kuna moja alitaka kuchoma degea alimind kishenzHivi Maguire ana mke/mpenzi? Ana Dr. wa Saikolojia kweli? Sio kawaida kwa mchezaji wa level yake kutokujiamini kiasi hiki. Au na yeye anajichua?
Leeds huwa wanakimbia hovyo na kupress sana ila kuanzia dakika za 70 hivi wanachoka. Kwahio ukiwa patient na ukilinda goli lako unawamaliza mwishoni. Ndio kilichotokea leo na mechi iliopita ingawa mechi ile United walifanya kosa kuruhusu magoli mawiliHakyanani hii timu imejua kutuweza leo
Hadi mpira unaisha kichwa kinauma dah
Anyway tumeipenda wenyewe acha twende nayo hivyo hivyo.
GGMU[emoji123][emoji123]
Rashford on[emoji91][emoji91][emoji91]
Karibu tena mkuu[emoji847]Leeds huwa wanakimbia hovyo na kupress sana ila kuanzia dakika za 70 hivi wanachoka. Kwahio ukiwa patient na ukilinda goli lako unawamaliza mwishoni. Ndio kilichotokea leo na mechi iliopita ingawa mechi ile United walifanya kosa kuruhusu magoli mawili
Amefunga ndoa mwishoni mwa mwaka jana tu hapoHivi Maguire ana mke/mpenzi? Ana Dr. wa Saikolojia kweli? Sio kawaida kwa mchezaji wa level yake kutokujiamini kiasi hiki. Au na yeye anajichua?
Mwamba ana mchecheto balaa[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Maguire ana mke/mpenzi? Ana Dr. wa Saikolojia kweli? Sio kawaida kwa mchezaji wa level yake kutokujiamini kiasi hiki. Au na yeye anajichua?