Unyama ni mwingi kutokea desert city
Utawakataa hao.Kila la heri Leeds United [emoji1491]
Tukifungwa tusimtafute mchawi[emoji1022] Leeds XI: Meslier, Ayling, Koch, Wöber, Firpo, Gnonto, Harrison, Summerville, Adams, McKennie, Bamford
[emoji1022] Man Utd XI: de Gea, Diogo Dalot, Malacia, Shaw, Maguire, Bruno Fernandes, Rashford, Sabitzer, Fred, Sancho, Weghorst
Kuna siku nilisema huyi kocha ni "mjinga" watu wakanijia juu. Kuna mtu angeweza kuhisi Maguire, Dalot, Whergost wataanza leo?Akianza leo itabidi nimvunjie heshima EtH kwa kumtukana kidogo..
Sure..una akili sana. Kwa kiwango cha Bissaka Dalot alitakiwa aozee benchi.Malacia wale vijanq hawawezi, atakuwa anateleza lakini hawafikii. Dalot na Malacia hawana uwezo wa kukaba.
Ningependa tumwamini Fred na Sabtzer pale kati. Shaw abaki sehemu yake, Bisaka arejeshwe sehemu yake. Sacho arudi kwa Garnacho.
Mechi ya juzi weak point ilikuwa Dalot na siyo Fred
Watu wachawi sana.Nileteeni harry maguire....
Nasema nireteeni maguiree
Hakunaga akili hiyo..shinda kilichoko mbele yako huko mbele itajulikana. Yaani Varane na Martinez 'the butcher' wako benchi?Tuna michezo mingi mbele,,,, lazima baadhi ya nafasi muhimu zifanyiwe rotation
uwe na kumbukumbu risiti yako hii hapa haujatimiza ahadi yako Kenge maji weweView attachment 2514529
Kila la kheri Leeds united
MANYUMBU MISUKULE Mkipata hata droo Nipigwe BAN LA MWAKA